Bunge la Ulaya: Hii ni bahati mbaya au ni malengo maalum?

Bunge la Ulaya: Hii ni bahati mbaya au ni malengo maalum?

Pole sana mpiga debe tupu. Hii mada ipo juu ya uwezo wako ndio maana umeshindwa kuchangia cha maana zaidi ya kuonyesha inferiority complex ya hali ya juu sana. Kile kitabu chenu hakuna cha maana ndani yake ndio maana Mnatumia Biblia ku hakikishia kitabu chenu.
biblia kuhakikishia nn.......?????
 
Mkuu Eiyer kile uli chokisema kwenye mada ile ya kitabu cha enok imenifanya nirudi nyuma kwenye mada hii kwamba ukweli haufichiki utauema tu bila kujua mfano hili jengo na hio sanam ni kiashishia kinachoonyesha uhalisia wao, nakupa heko kaka.
Pamoja sana mkuu.....

Mfalme wa Wafalme alishasema "hakuna kitakachokuwa mafichoni ambacho hakitafichuliwa",unabii huo unaendelea kutimia taratibu tu mkuu....
 
Ni mpango maalum kabisa,wala si bahati mbaya.Shetani ameshaiweka mkononi Ulaya karibu yote na Marekani yote na sehemu kubwa ya Mashariki ya mbali.Ulaya na Marekani wako wazi kabisa kwamba Mungu wao ni Shetani. "DOG SI NATAS"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Roman empire ndio msingi mkuu wa ulaya iliyoungana.Kabla ya akina Constantine na emperors wengine wa kirumi kuleta vision ya kuunganisha ulaya chini ya himaya ya kirumi,hakukuwa na ulaya iliyoungana.Ni wakati wa ukoloni wa warumi ndipo hizi idea za kuungana na kuwa na superstate ya ulaya zikaletwa.

Constantine alifanya kazi kubwa kuintergrate culture za wazungu wa ulaya,na silaha yake ya kutumia dini ya ukristo kuunganisha himaya ya rumi ilisaidia sana.

Hivyo ni ngumu kuzungumzia asili ya muungano wa ulaya bila kutaja roots zake ambazo ni ancient roman empire.
Enzi zile,emperors na popes walitumia vitu viwili,doctrine of apostolic succession na doctrine of temporal powers kuunganisha kanisa na serikali na kupata nguvu kubwa ya utawala.
Kwa kiasi kikubwa ukristo ule uliowekwa na Constantine ilikuwa gundi iliyounganisha makabila ya ulaya na ukawa mwanzo wa taswira ya ulaya iliyoungana inayotafutwa leo.
Kuanguka kwa himaya ya kirumi kulileta power struggle kati ya mabaki ya himaya hiyo na baada ya kipindi kirefu cha mivutano,yakazaliwa mataifa haya makubwa ya ulaya tuyaonayo leo.
Leo hii ulaya inataka kuungana tena.Na sio kuungana wao tu,bali kuunganisha dunia nzima.
Zipo challenge nyingi sana zinazoukabili muungano huu,na ukichunguza kwa makini,mojawapo ya obstacles kubwa ni tofauti za kiuchumi na kiutamaduni kati ya nchi za ulaya mashariki na ulaya magharibi.Hizi tofauti zina asili yake katika anguko la Rumi,ilipogawanyika na kuleta civilization tatu,Western,Byzantine na Islam pale middle east.Civilization hizo zina influence fulani katika kushape culture,uchumi na politics za maeneo zilipokuwepo.
The only way kwa ulaya kurudia enzi zake za utukufu ni kutumia method ile ile iliyosababisha izaliwe,nayo ni kufuata njia za Rome.Na mzee Benedict XVI ameshawashauri,kuwa ili wafanikiwe,they have to go back to their roots.
Katika his third encyclical,Benedict alisema,"there is a need for world political authority that would have wide-ranging influence in other areas as well,to manage the global economy,to revive economies hit by the crisis,to avoid any deterioration of the current crisis and the greater imbalances that would result,to bring about integral and timely disarmament,food security and peace,to guarantee the protection of the environment and to regulate migration,for all this,there is urgent need of A TRUE WORLD POLITICAL AUTHORITY."
Mwaka 2005,wakati akihojiwa na Eberhard von Gemmingen wa idhaa ya kijerumani ya radio Vatican,Pope Benedict XVI alisema,"many heavy burdens exist in our modern western society,driving us away from Christianity.There should be a renewal of Europe's Christian roots.Extrapolating the continent's civilization and technology from its deep roots in Christianity,and attach them to less secure moorings,was a mistake.I believe civilization,with all it's dangers and hopes,can only be tamed and led back to greatness if it recognises again the sources of it's power."
Hivi karibuni,akiwa ametembelea jumuiya ya Sant'Egidio huko Roma,papa Francis alitamka kauli kama ya mtangulizi wake,akisema,"Europe is tired,We have to help Europe rejuvenate,to find its roots.It is true,Europe has disowned its roots,and we must help Europe discover those roots."
Papa Yohane wa pili nae aliwahi kuzusha mtafaruku pale alipowaomba viongozi wa ulaya wafikirie kwa kina na kuhakikisha katiba ya jumuiya ya ulaya inatambua Europe's "Christian base".
Is this a call for church and state union?
Pia,juhudi nyingi zinafanywa na Vatican kuunganisha dini za dunia.Ni wazi kwa tofauti ya kimafundisho iliyopo,kama lengo hili litafanikiwa,basi dini nyingi zitalazimika kuacha mafundisho yake mengi unique ili kwenda sawa na wengine kwenye hiyo dini moja.Kwa hiyo ni wazi papa na viongozi wa dini wengine wanapofikiria kuungana,wanaelewa vizuri gharama ya muungano huo kwenye mafundisho makali ya dini hizo.Ni wazi yataachwa.Na katika mtazamo wa kidini,kuacha doctrine za msingi ili uendane na dunia ni apostasy kubwa sana.Dunia inapaswa kukufuata,siyo wewe ufuate dunia.Ila huko ulaya wamekazana.The WCC etc.Are we heading to a new world religion?Na kama ndio,dini hiyo itaweza kubeba mafunzo yote makali ya dini zote?jibu hapana.Itabidi yachakachuliwe kutafuta common grounds in favour of the so called "world peace" na uhuru wa kila mtu kama gays etc.Na mwelekeo tumeanza kuuona.Now,effort zote hizi huko ulaya zinaleta picha gani in the near future?binafsi naona muungano wa ulaya(revived roman empire) ukileta msukosuko wa kuunganisha na dunia yote,huku juhudi za kutengeneza apostate religion(mwanamke Babel),itakayoenea na kufuatwa na watu wengi(maji ya bahari) zikipamba moto.namuona beast mwekundu akiwa kasimama, juu yake kambeba mdada,paleeee nje ya bunge la ulaya.

juve 2012 mwana unajua,ila unaniudhi kwa jinsi ulivypotea humu jukwaani tangu mada ya rothschild family worth. asnte mkuu,bado kiranga sasa.
 
Babel.jpg


Hiyo hapo juu ni picha ya inayosadikiwa kuwa ya mnara wa babel ambao Nimrod kwa kushirikiana na watu wengine waliujenga kwasababu ambazo ni za kishetani kwa mujibu wa maandiko na Mungu alivuruga lugha

Tazama picha inayofuata hapa chini .....

img_0560.jpg


Hii ni picha ya jengo la bunge la Ulaya huko Ubelgiji ...

Majengo haya yanafanana kwa kiwango kikubwa sana,je ni kwanini?

Haya mambo ni ya bahati mbaya au ni kwa lengo maalum tu?

Wajameni mmeshajiuliza kuhusu haya waungwana?

Hiyo tisa kumi ni hii picha hapa chini ;

EuropaStatueEuropeanCouncilBrussels.jpg


Hii ni sanamu ya mwanamke akiwa juu ya mnyama kama ilivyoelezwa kwenye Ufunuo 17 na sanamu hii iko nje ya jengo la bunge la Ulaya,kwanini mambo haya yako hivi?

Ni bahati mbaya tu au yapo kwa malengo maalum?

Jamani hebu tusaidiane kufikiri waungwana ......

CC: Mkuu wa chuo , Ishmael juve2012 , Ntuzu , RGforever , MTAZAMO Mentor , Kaunga EMT , Lisa Valentine Tanzania Law @Schiendler charminglady , Basluma Original Otorong'ong'o na wengineo .....!!

Picha "inayosadikiwa".

Mpaka hapo habari ishanuka uzushi.
 
Mkuu Eiyer kule chini kama tunavyoendelea katika lile jukwaa la dini kwenye ule uzi wetu, kama nilivyofikia pale, nilisema kwamba kuna majuma yale saba ambayo ni sawa na miaka saba yamegawanyika katika miaka mitatu na nusu, mitatu na nusu, ambazo ni siku 1260 kwa siku 1260 kuna sehemu haukunielewa ila kwa hapa nafikiri utanielewa nitarudi pia na kule chini...

Kabla kabisa ya Mpinga kristo kuanza kupiga kazi katika zile siku zake 1260 za mwisho zile katika dhiki kuu kwa sababu miaka yote ile saba itakuwa ya dhiki ila ile miaka mitatu ya mwisho itakuwa ya dhiki kuu atatangulia yule kahaba wa Ufunuo, Katika Ufunuo twasoma Mwanamke amelewa kwa danu ya watakatifu na kwa damu ya mashahidi wa Yesu Maana yake ni dini itakuja wakati wa mwisho litaongozwa na mpinga kristo ambaye hatawaruhusu watu wamuabudu Mungu katika roho na kweli, na unajua mkuu mambo ya kipindi kile Babeli...

kwa hiyo mkuu hicho kitu inawezekana ikawa ni maandalizi ya mpinga kristo kuna vitu vingine kama New World Order, kwa hiyo hapo mkuu unaweza ukawa unaanza kupata concept ngojea nikaendelee kule jukwaa la dini kwenye ule uzi wetu

Ufunuo 18:4 Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake.

Hiyo Verse hapo juu inahusiana na Babeli, BABELI MKUU MAMA WA MAKAHABA NA MACHUKIZO YA NCHI, na Ufunuo 18 inaelezea kuanguka kwa Babeli


Nchojua na nina uhakika nacho,mambo yote yalizungumziwa kwenye ufunua kuanza ufunua 13,yalikwisha tokea tokea wakati ule kina petro na watakatifu wengin wanauawa na kuteswa,na dola mbali mbali kuanguka na kubadilisha tawala mfano USA
 
Njoo kule jukwaa la dini tujifunze zaidi...
Jukwaa la ubaguzi, nilishawahi kuomba kuingia huko bila majibu!
Nina kitu cha kuchangia hapo lakini kwa uelewa wa watu hapa wataishia kukashfu. Kwa ufupi hayo majengo ndio NWO watayatumia na yule kiongozi wao 666.
Ni ajenda ya wadau wa chinichini kuweka mipangilio katika muelekeo huo, tupo karibu kufikia huko na ni kizazi hiki ndio kitahusika.
 
achana nao watu wenye akili fupi kama hawa, hawajui linaloendelea. Hii ni lugha iliyo katika level ya juu sana! Wao wataletewa mashati yenye picha za hivo vitu wanavaa bila kujua kinachoendelea
 
This is not good ......

Nimekuwa nikijiuliza sana kama hawa watu wanajua wanachofanya au ni bahati mbaya,lakini nimekuja kugundua kuwa wanajua wanachofanya na wamedhamiria kabisa

Kile ambacho sisi tunakijua kuwa ni hatari kwao ni baraka hii ni hatari kuliko hatari yenyewe ilivyo ...!!
Kuna mchambuzi mmoja nimependa sana uchambuzi wake wa ufunuo. Yeye amemchambua yule mnyama kuwa ni Taifa au muunganiko flani utakaoungwa na mataifa hayo (yaani hii EU). Watakaohusika kuunda ndio tafsiri ya namna mnyama alivyo fafanuliwa.
MNYAMA = NCHI AU TAIFA
Sio lazima yote yaliomo humo kwa sasa. Jeraha la mauti kasema ni PIGO/dholuba kwa nchi mojawapo zitakazounda 666. Nchi hii aliitaja kuwa ni Ujerumani. (ILIPATA PIGO LA MAUTI NA KUPONA) Iligawanywa na kupona katika jeraha hilo (YAANI kujiunga tena kama taifa) . SASA ajenda inaendelea. Ndio haya tuyaonayo na Dira kuu ni mambo yanavyoendelea pale Israel. Mwanamke mkuu yule kahaba alimtaja mchambuzi huyu kuwa ni VATICAN (fuatilia mavazi ya kahaba). itaanguka na kuisujudu hii kitu 666 inayoundwa na mataifa haya. Nabii wa uongo alimtaja kuwa ndio atakayeiporomosha vaticana na RC yote kwa kuiweka chini ya hii 666. PApa atatakayekalia kiti kipindi hicho (haijulikani kama ni huyu au ajaye) ndio atakuwa mtekelezaji mkuu wa kuiweka RC. YOTE CHINI YA 666.
 
The E.U.'s chosen symbol is a Woman Riding the Beast...
woman_riding_beast-eu_brussels.jpg

[SIZE=+1]The above statue is located outside the EU office in Brussels - A WOMAN RIDING A BEAST![/SIZE]
"...and I saw a woman sit upon a scarlet coloured beast, full of names of blasphemy, having seven heads and ten horns." -Revelation 17:3
Tafsiri ya hiyo kitu ni kuwa; Katika 666 itakayojengwa itahusisha na kuanguka kwa yule kahaba (pichani) kama TAifa ambaye atakuwa ndani ya hiyo 666.
kahaba = taifa la vatican na RC yote (fuatilia ufunuo na mavazi ya huyu kahaba alivyotambulishwa na sifa zake)
MNYAMA = TAIFA
HUYU MNYAMA 666 ATAFANYA kufulu mbele za Mungu, hayo majengo bado ni viashiria tu na mwanzo wa makufulu. Yaani wanaanza kujenga kile walichoshindwa wenzao pale nyuma, kama waligawanywa sasa wanaungana tena NDIO MAKUFULU YENYEWE HAYO YANAANZA. ((NWO))
MUONEKANO WA YULE MNYAMA KUWA kama hivyo alivyo ni muunganiko wa mataifa kadhaa. WACHACHE SANA WATANIELEWA HAPA, hasa wale wanaofuatilia kitabu cha ufunuo; wengine wataishia kuona upuuzi. Kuna propaganda zinapita kuwa papa ni 666, au sijui muanzilishi wa dini gani, hakuna kitu kama hicho. Atakaekalia kiti cha papa ndio (huyu au wa mbeleni)atakaekuja kuwa yule nabii wa uongo kwa kuiangamiza RC (RC na Vatican = yule mwanamke kahaba) na kuiweka chini ya 666 na kuunda dini ya 666 kwa kusema kiongozi wa 666 ndio wa kuabudiwa/
 
I don't believe in their book at all, but they are mentioned in the Bible as Anti Christ. Nevertheless, they claim through their Book that Allah will dominate the world. I don't think we can close our eyes on that.
Hawa katika bible wako katika zile nguvu kuu zilizotengwa katika mafungu 4 ambazo katika kuenenda kwao zitapingana na MAPENZI YA MUNGU. (NIFUATE KWA UMAKINI nakufumbua macho)
Nguvu hizi zitatokea mpaka hapo zitakapokuja kusababisha uwepo wa mpinga kristo kwa namna moja au nyingine. Yaani watakuja kusalimu amri ama kwa kukubali au kwa vita.
Nguvu hizi ni wale farasi wanne kwenye ufunuo na kila mmoja ana rangi yake kutambulisha nguvu hizo. "NA NIKAONA FARASI WANNE.........."
  • Rangi nyeupe = ukatoriki (waliua sana kueneza itikadi yao, sasa wametulia kwa kuwa lengo limetimia, wana wafuasi wengi)
  • Rangi nyekundu = ukomunisti (wachina na Warusi wameua na wataua sana kueneza itikadi yao)
  • Rangi kijani iliyopauka = uislamu (wameua sana, ila bado wachache, hivyo wanaendelea kuua kueneza itikadi yao mfano ISIS)
  • Rangi nyeusi = Ubepari (inajumuisha mataifa yote yanaoendekeza Dhana ya ubepari) Wameua sana kueneza itikadi zao yazaniwa AIDS ndio wameitengeneza wao kuwamaliza maskini ili waendeleze itikadi zao, mpaka sasa madawa yanatoka kwao ya kupunguza makali ya AIDS lakini kiukweli ni kuendeleza AIDS tafakali

Nguvu hizi zinafanya kazi ambayo ni kinyume na mapenzi ya Mungu, na KWANYAKATI tofauti, na kwa mbinu tofauti wameua sana, wamechinja sana na bado wanafanya japo WANAJITOKEZA MBELE NA KUJIFANYA WATU WA AMANI. Huu ndio ufunuo wa wale farasi wanne wenye rangi hizo pamoja na waliowapanda. Tulia kasome taratibu bible sehemu hiyo ya ufunuo husika. Wachache mtanielewa!
Nguvu hizi zina sifa kuu moja zinazoonyesha kuwa nia kitu kimoja moja (chunguza). Wakijitokeza mbele za watu au jumuiya wanavaa ngozi ya kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu. Watatetea kuwa wao ni watu wa AMANI.
Nguvu WALIYONAYO ni nyenzo yao kuu itumikayo kueneza ITIKADI YAO ama kwa kificho/ujanja waliojaliwa huku wakijifanya ni watu wa amani.
 
Muhammad is 666
Lets try it for muhammad :

M 13 * 9 = 117
U 21 * 9 = 189
H 8 * 9 = 72
A 1 * 9 = 9
M 13 * 9 = 117
M 13 * 9 = 117
A 1 * 9 = 9
D 4 * 9 = 36

---------- TOTAL =
666
Hiyo formula nani kakufundisha uitumie. Ninachojua Neno la ufunuo kipindi hicho lilishushwa kwa lugha ya Kihebrania na kuna mfumo wa namba wa kiebrania ndio unatakiwa kukokotoa kupata jumla ya 666. Sasa hii yako sijui ya wapi! Kama ufunuo ulishushwa kwa kirumi basi namba za kirumi zitahusika. SASA kwa taarifa yako Ukitumia namba za Kiebrania (google ujifunze) ukajumlisha utakachopata leta hapa. Wote wasiotumia namba za lugha hiyo wanapata majina mengi jumla yake ni 666. Mungu hakuwa mjinga kutumia lugha ya Hebrew kushusha kitabu cha ufunuo.
 
Back
Top Bottom