KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Ninapoona watu weusi wanapobishania dini za kigeni na kujinasibisha nazo ndio najuwa kuwa wazungu na waarabu hawakuja kutembea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pembe kumi ni ile mikoa kumi ya Dunia mpya.Ufunuo 17:3
3 Akanichukua katika Roho hata jangwani, nikaona mwanamke, ameketi juu ya mnyama mwekundu sana, mwenye kujaa majina ya makufuru, mwenye vichwa saba na pembe kumi.
Ni wapi kwenye Ufunuo panasema mwanamke ni kanisa?Pembe kumi ni ile mikoa kumi ya Dunia mpya.
Mwanamke ni kanisa kahaba ni mchanganyo wa mambo
hapa nitatoa sifa za kanisa hilo
wanamix vitu kama biashara, elimu, matibabu, siasa,uchumi, ulinzi na usalama au majeshi na upelelezi, kwakuwa tumeambiwa kuwa huyu kahaba mkuu ana binti zake nao wanafanana na mamao michanganyo tunawaona binti wakiwepo kwenye siasa elimu uchumi/fedha au bank, afya au matibabu au hospital,siasa, kwahyo haina shaka hawa ni katoliki na wanawe.
...hongera sana !Pole sana mkuu.....
Kuna sehemu inasema Nguruwe ni Haramu kuliwa, lakini kuna sehemu watu wameelewa sio haramu na ni safi kwa kuliwa, nadhani namna ya uelewa tu. Maana yesu ni Bwana wetu, je ametuoa???Ni wapi kwenye Ufunuo panasema mwanamke ni kanisa?
Mimi ninaweza kukuonesha panaposema mwanamke siyo kanisa....
Ni sahihi wewe kusema huo ni uelewa wako na siupingi...Kuna sehemu inasema Nguruwe ni Haramu kuliwa, lakini kuna sehemu watu wameelewa sio haramu na ni safi kwa kuliwa, nadhani namna ya uelewa tu. Maana yesu ni Bwana wetu, je ametuoa???
hii inaeleza vizuri kabisa tuandae kanisa na liwe tayari kama bibi harusi ili atakaposhuka Bwana wetu atuchukue, uelewa wangu kanisa ni mwanamke na Bwana wake ni Yesu.
Kweli mkuu, hawajamaa hawakuja bure. Imani zao zinatuchanganya sana.Ninapoona watu weusi wanapobishania dini za kigeni na kujinasibisha nazo ndio najuwa kuwa wazungu na waarabu hawakuja kutembea