Bunge la Ulaya: Hii ni bahati mbaya au ni malengo maalum?

Bunge la Ulaya: Hii ni bahati mbaya au ni malengo maalum?

Babel.jpg

towerofbabel_final.jpg

Hiyo hapo juu ni picha ya inayosadikiwa kuwa ya mnara wa babel ambao Nimrod kwa kushirikiana na watu wengine waliujenga kwasababu ambazo ni za kishetani kwa mujibu wa maandiko na Mungu alivuruga lugha

Tazama picha inayofuata hapa chini .....

img_0560.jpg


Hii ni picha ya jengo la bunge la Ulaya huko Ubelgiji ...

Majengo haya yanafanana kwa kiwango kikubwa sana,je ni kwanini?

Haya mambo ni ya bahati mbaya au ni kwa lengo maalum tu?

eu_tower_building-tower_of_babel.jpg



Wajameni mmeshajiuliza kuhusu haya waungwana?

Hiyo tisa kumi ni hii picha hapa chini ;

EuropaStatueEuropeanCouncilBrussels.jpg


Hii ni sanamu ya mwanamke akiwa juu ya mnyama kama ilivyoelezwa kwenye Ufunuo 17 na sanamu hii iko nje ya jengo la bunge la Ulaya,kwanini mambo haya yako hivi?

Ni bahati mbaya tu au yapo kwa malengo maalum?

Jamani hebu tusaidiane kufikiri waungwana ......

CC: Mkuu wa chuo , Ishmael juve2012 , Ntuzu , RGforever , MTAZAMO Mentor , Kaunga EMT , Lisa Valentine Tanzania Law @Schiendler charminglady , Basluma Original Otorong'ong'o na wengineo .....!!
Vitu vidogo sana, sema nyie wafia dini mnavikuza kwa faida yenu.
 
bila ya shaka hawa watu weupe hawana agenda njema na sisi, japokua wamedhamiria kutumaliza lakini naamini hawata fanikiwe.
 
Unaijua historia ya wayahudi walipotokea mwanzo?
Wayahudi ni watu wa makabila mawili,Yuda na Benjamin.Yahud linatokana na neno Yuda likimaanisha "Watu wa Yuda",waliitwa hivyo baada mgawanyiko wa mwaka 900 hivi kabla ya kuzaliwa Kristo na kuundwa kwa mataifa mawili ya Israel na Yuda....

Kabila la Yuda lilikuwa na nguvu kuliko Benjamin hivyo watu wote wa nchi ya Yuda waliitwa Wayuda [Wayahudi] na hata nchi ile ikaitwa jina hilo....

Siyo kila Muisraeli ni Myahudi lakini kila Myahudi ni Muisraeli....
 
Wajinga ndio waliwao.

Hizo picha zinafanana? au hujuwi maana ya kufanana?

Na huyo ndio mnyama mwenye mapembe kumi?

Upunguani mwingine ni wa hali ya juu.
Mambo ya wagalatia wa kisabato hayo ! Ukhti upo ?
 
Pole sana mpiga debe tupu. Hii mada ipo juu ya uwezo wako ndio maana umeshindwa kuchangia cha maana zaidi ya kuonyesha inferiority complex ya hali ya juu sana. Kile kitabu chenu hakuna cha maana ndani yake ndio maana Mnatumia Biblia ku hakikishia kitabu chenu.
....Biblia ni kitabu ambacho hata Yesu mwenyewe hakijui wala hakina mchango wake. Kazi ya mikono ya watu wazushi.
 
Wanaodhani Mungu anahitaji dini ni watu wasiomjua Mungu

Binadamu ndie aliyetengeneza dini
Mungu hakuanzisha dini yoyote,labda Mungu fake

Mungu alileta habari njema

Mungu awe na dini ili amuombe nani?

Ukristo sio dini ...!!
....confused buddy !
 
Mungu hana dini mkuu na wala haitaji dini.

Dini ni jaribio la mwanadamu kuwa na uhusiano na Mungu. Imani ya kikristo ni uhusiano na Mungu kwa sababu yale ametufanyia kupitia kwa kusulubiwa kwa Yesu Kristo. Hakuna mpango wa kumfikia Mungu (Yeye ametufikia Warumi 5:8). Hakuna kulipa mahari (yote tumeyapokea kwa neema- Waefeso 2:8-9). Kusiwe na mfutano wowote juu ya uongozi (Kristo ndiye kuchwa cha kanisa- Wakolosai 1:18). Kusiwe na upaguzi wowote (wote tu sawa katika Kristo- Wagalatia 3:28).
....labda upande huo, sie tumeambiwa Dini ya haki mbela ya Mwenyezi Mungu ni Uislaam, na tuliitwa Waislaam tokea wakati wa Adama na hata sasa. Na Uislaam umekuja kushinda dini zote hata kama Makafiri watachukia. Habari ndo hiyo.
 
Mungu hana dini mkuu na wala haitaji dini.

Dini ni jaribio la mwanadamu kuwa na uhusiano na Mungu. Imani ya kikristo ni uhusiano na Mungu kwa sababu yale ametufanyia kupitia kwa kusulubiwa kwa Yesu Kristo. Hakuna mpango wa kumfikia Mungu (Yeye ametufikia Warumi 5:8). Hakuna kulipa mahari (yote tumeyapokea kwa neema- Waefeso 2:8-9). Kusiwe na mfutano wowote juu ya uongozi (Kristo ndiye kuchwa cha kanisa- Wakolosai 1:18). Kusiwe na upaguzi wowote (wote tu sawa katika Kristo- Wagalatia 3:28).
Qur'an 3:19.
Dini ni Uislaam.
 
Umemjibu Vizuri maana kuna watu huwa wanataka kumfanya Mungu watakavyo wao... kumlazimisha kuwa Mungu ana Dini ambayo Yeye Yupo

Amesahau kuwa Hekima Ya Mungu haijali Dini ndo maana Unaweza Kuwa Mkristo Mwisho wa Siku ni Motoni...

Unaweza Kuwa mtu mwema sana na Wala hukuzijua Sheria ila kwa Wema wako kwa Watu na Upendo ambao Mungu aliuweka toka Mwanzo ukafurahia Mbingu... Huu wema na Upendo walikuwa nao Manabii wa Zamani na Mababu wetu ambao hata sheria moja ya Musa hawakuijua na Wala hawakumjua Yesu Kristo
....ulikuwa nae mungu kupanga hili !?
 
Back
Top Bottom