OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana na wewe. Kipindi cha Nuhu maovu yaliongezeka sana na watu walijali/abudu mambo yao na kumsahau Mungu. Pia walisema hakuna mwisho wa dunia. KINACHOTOKEA SASA NI KAMA KIPINDI HICHOUkisoma Mathayo 24 Yesu amesema siku za mwisho zitakuwaje,"Kama ilivyokuwa katika siku za Nuhu na gharika,ndivyo itakuwa wakati wa kuja kwake mwana wa Adamu" ,kwa maana hii kiashiria kikuu cha siku za mwisho ni kuangalia kipindi cha Nuhu kilikuwaje....
Mungu naamini huwa anahakikisha analinda maagano yake na maandiko yake katika bible. HAPO SHETANI HAWEZI KUINGILIA. Sasa mfano alisema atakae walani basi na yeye atalaniwa. Chunguza ukweli huu katika level ya kitaifa. Taifa linaloshutumu au kuvunja uhusiano na Israel nini kinawajili. Unaweza peruzi mataifa kadhaa. Kuna article moja nimepitia imetoa ushahidi kuwa mataifa top ten kwa sasa kiuchumi ni yale yenye ushirikiano na Israel hii ya sasa. Yapo mengine yalipaa kiuchumi pale tu yalipoanzisha ushirikiano na hii nchi. Sijaweka kumbukumbu ya link (jaribu kuperuz).(pia Waweza angalia mwamko wa TZ kwa sasa baada ya kuanzisha mahusiano na huko nyumba hasa kwenye HIZI RASMALI ZETU TUNAZOJIDAHI NI UTAJIRI japo isiwe kigezo muhimu kwa sasaPamoja na maelezo yako mengine ni kwamba,binafsi nina mtazamo tofauti juu ya Israel hii iliyopo leo.Siamini kama hii ni ile Israel ambayo Mungu anaizungumzia kwenye Biblia na vitabu vingine,i strongly believe that,this is the fake Israel,Shetani amejaribu kuvuruga sana unabii wa nyakati za mwisho....
UKIGEUZA UPANDE WA PILI WA SHILINGI, Palestina na Taifa lao ni kina nani??!Niliwahi fuatilia asilia ya waisraeli walioko pale middle east,nikaangalia jinsi wanavokabiliana na nguvu ya wapinzani (palestina),nikiunganisha na neno la Mungu,nashawishika kuamini kuwa hawa sio orijini ya yakobo.
Kwahiyo kinachotokea hapo israeli inawezekana ikawa upotoshaji ili kufikia lengo flani. Naunga mkono wazo lako mkuu Eiyer
Sent using Jamii Forums mobile app
UKIGEUZA UPANDE WA PILI WA SHILINGI, Palestina na Taifa lao ni kina nani??!
Lets go............ (PIA TUTAANGALIA MIUJIZA kidogo YA KUlindwa kwa Eneo la Israel kuelekea 1948 MPAKA LINAKUWA TAIFA. MASTA PLAN YA GOD SHETANI HAGUSI) Masta plani ya shetani itaonekana ipo juu kwa wale wasio na macho na wanaozolewa na propaganda)
The Palestinians in Prophecy
Where do the Arabs fit into end time Bible prophecy(including Palestines)?
Just as God made a covenant with the Jews through Abraham’s son Isaac and his son Jacob, God also made a promise to the Arab people. Most people are not aware of this. God made a covenant with Abraham’s other son, Ishmael, known today as the Arab peoples, and you can find that covenant in Genesis 16 and 17.
What were the promises God made to the descendants of Ishmael?
Firstly, God promised Abraham, “I will multiply your descendants exceedingly.” Today there are 350 million Arabs living in the Middle East.
Secondly, God said He would make Ishmael’s descendants into a great nation.” And, they are!
Thirdly, God gave the Ishmaelites all the land east of Canaan. And, He has!
Fourthly, God would give the Arabs a personality like a wild donkey. Very interesting comparison!
Fifthly, Ishmael’s descendants would have a warlike spirit. Their hands will be against everyone.
So, those are the promises God made about the descendants of Ishmael.
Let’s looks at thee fulfillment of God’s promises to Ishmael. Today, the Arab world spans the Middle East and North Africa. God said He was going to provide them with a lot of land, and He certainly did give them a whole lot of land. Today there are more than 350 million Arabs inhabiting 22 Arab nations. The Arab’s control 5.3 million square miles of oil rich land.
The Arabs are indeed characterized by an inability to get along with anyone, even including themselves. If Israel were to disappear tomorrow, there would still be wars in the Middle East. In one war between Iran and Iraq over one million people were killed. Then Iraq invaded Kuwait and wanted to take over all the Middle East. The Arabs cannot even get along with each other, much less the rest of the world.
By comparison, there is only one Jewish state with a population of 6 million Jews who are squeezed into a living area of only 8,000 square miles. You would think with those such overwhelming numbers the Arabs would be satisfied with the land they have, but no, they want all of Israel’s territory as well. In truth, they yearn to destroy their half-brother Israel. That is a population ratio of 60 to 1, and a land ratio of 662 to 1!
Regarding the so-called Palestinians, it is very interesting that from 70 AD until 1948 AD, the year when Israel was re-established, Jerusalem had never been the capital of any Arab state. Jerusalem has never been the capital of any Arab state, only of the Jewish state.
Also, there has never been a Palestinian state. Antisemetics will tell people that all the problems in the Middle East are tied to the day that the Jews returned and “ran all the Palestinians out and took over their homes.” What a lie! There has never been a Palestinian state. The Arabs who lived in the Levant considered themselves to be Syrians.
Historically proven, there never has been any Palestinian identity. There has never been a Palestinian culture. There was never any Palestinian language. It just simply doesn’t exist! The idea of a Palestinian state, a people who were illegally displaced by the Jews, is pure propaganda developed by the Arabs after the Six Day War in 1967. [KWA NIONAVYO MIMI HII NDIO MASTA PLAN YA SHETANI]
It is very important to keep in mind that the Palestinians already have a state. They already have a state and it is called Jordan. Some 75% of all the people who live in Jordan consider themselves Palestinians. So, when the Palestinians cry out to the world that they need a state, the truth is, they already legally have a state, and it’s called Jordan.
THE FACTS NA NAMNA YA ENEO WANALOKALIA ISLAEL;
The Land Restored (Islael or Holy Land)
Let me tell you, very few Syrians lived in the Holy Land. Most of the people were absentee landlords because the area was a wasteland. When the Jews were forced by the Romans to leave the area, Israel became a wasteland. By the 20th Century, there were only 17,000 trees left in all of Israel. Only 17,000! There was not a single tree south of the Sea of Galilee. How do we know that? The Turks taxed trees and so kept records. What did these poor people living in this miserable land do? They cut down their trees so they wouldn’t have to pay taxes. That’s how we know there were only 17,000 trees left in the land.
Do you know what a treeless land becomes? Erosion takes its toll and the water becomes malaria-infested swamplands. For the last 1,900 years, Israel was an absolute wasteland.
Why? God had that happen on purpose because He didn’t want anybody moving into the Promised Land. He wanted to reserve it for the Jewish people.
Check out the first book that Mark Twain ever wrote titled, Innocence Abroad. It records Twain’s trip to the Holy Land in 1866. He marveled over just how barren the land was. He reported that he rode a horse for three to almost four days from the Sea of Galilee to Jerusalem, and he never saw one human being the entire time. He never saw a tree. He never saw an animal. He reported that all he saw was rock after rock after rock.
It’s historically proven that there were hardly any people living in the land of Israel when the Jews began to come back. And, once they finally got there, what did the Jews do? They bought the land that God had already given them. They paid exorbitant prices to the Arabs who laughed all the way to the bank over these stupid Jews who were buying this worthless land.
What the Arabs didn’t realize was that God had prophesied that when the Jews came back, the land would become like the land of the Garden of Eden. Today you can go to Israel, and indeed, it looks just like the Garden of Eden must have. Drive down the Valley of Sharon and look out the bus. On one side there are strawberry fields, and there’s a cotton field, there’s a banana plantation. Just about everything you can imagine is growing, because God has made Israel once again like the Garden of Eden.
My hope is that this information will help the reader better understand that the return of the Jewish people to their homeland and the reestablishment of their state is firstly all in accordance with God’s will, and secondly, is a sure sign that we are living in the season of the Lord’s return.
Lets stop here.
My take; Sasa mtu akiniambia Israel ya sasa ni mpango wa SHETANI na Wapalestina kinyume chake itamaanisha mpango wa Mungu! inakuwa ngumu sana kumuamini. Itambidi afanye la ziada kutetea hoja yake.
cc; Eiyer
Ugumu unakuja pale mtu anapozolewa na propaganda za Shetani. MfanoHaya mambo ni magumu sana kuyaelewa,na sijui kwanini Mungu alifanya hivi lakini. Ngoja tujaribu kutafakari zaidi tuone kama tutapata wazo jipya juu ya hoja zako ndugu mcharo son.
Na tafadhali sana,kama kuna mengine mengi unayoyajua kuhusu hii mada,naomba utuwekee hapa tuendelee kujifunza zaidi. Shukani sana.
mkuu kwa mawazo yangu kuhusu huo ufanano wa majengo unao uzungumzia, nadhani ni BAHATI MBAYA TU IMETOKEA YAKAFANANA.............Majengo haya yanafanana kwa kiwango kikubwa sana,je ni kwanini?
Haya mambo ni ya bahati mbaya au ni kwa lengo maalum tu?
Historia ya Israel hii ya sasa ilivyopatikana kama kuna sehemu imepotoshwa TUWEKANE SAWA.Mkuu,unafahamu historia ya namna hii Israeli ilivyopatikana?
Unafahamu Wayahudi/Waisraeli wa kwanza walikuwa ni race ipi?
Dhamira ya hao wajenzi ilikuwa nini? Mana hata kumfikia Mungu angewaacha jiografia inaonyesha wangeishia hewani, sana sana lingekuja dondoka na hata robo ya kufika mwezini wasingefika............. kilichomchikiza/kumkasirisha Mungu ni LENGO/DHAMIRA YA WAJENZI WA HUO MNARA ......................
4Ndipo wakasema, “Njoni, tujijengee mji wenye mnara ambao utafika hadi mbinguni,Dhamira ya hao wajenzi ilikuwa nini?
ni kweli mkuu unachokidai upo sahihi kabisa, wasingeweza hata chembe na ingefika hatua wangekata tamaa (KWA MUJIBU WA SAYANSI NA TECHNOLOGIA KUHUSU MASUALA YA ANGA NA SAYARI AMBAYO YAMEKUWEPO NA KUJULIKANA KIPINDI KIREFU BAADA KUANDIKWA KITABU CHA MWANZO NA HAYO MAMBO YA MNARA WA BABELI) ..........Mana hata kumfikia Mungu angewaacha jiografia inaonyesha wangeishia hewani, sana sana lingekuja dondoka na hata robo ya kufika mwezini wasingefika
so unaweza jiuliza swali kuwa hii jiografia tunayo ifahamu mimi na wewe kwa sasa, ufahamu wa sayari na anga tunaoufahamu mimi na wewe kwa sasa ENZI ZA MNARA WA BABELI WALIFAHAMU NA KUJUA IVO ???????jiografia inaonyesha wangeishia hewani
halafu ndugu yangu kuna shida mbili au tatu naziona kwenye baadhi ya post zako
Yawezekana umeyaona hayo kwa kuwa MITAZAMO yetu Tofauti. Mimi natumia biblia kwa majira yote, yaliopita, haya na yajayo; sijui kwa hilo kama tuna mtazamo sawa. Kwangu mimi BIBLIA NI DIRA/MWONGOZO kwa vile jinsi Mungu atanijaria kufahamu. Nakubari kukosolewa na huwa napima ukosoaji kama sahihi au la.tatizo la kutokuzingatia nyakati/wakati kitabu husika cha biblia kinaandikwa
tatizo la kutokuzingatia mazingira halisi yaliokuwepo na kuonekana wakati kitabu husika cha biblia kinaandikwa
tatizo la kutokuzingatia ufahamu, ujuzi na uelewa wa watu wakati kitabu husika cha biblia kinaandikwa (mfano hapa waweza rejea post yako unayoelezea kuhusu jiografia hapa chini)
so unaweza jiuliza swali kuwa hii jiografia tunayo ifahamu mimi na wewe kwa sasa, ufahamu wa sayari na anga tunaoufahamu mimi na wewe kwa sasa ENZI ZA MNARA WA BABELI WALIFAHAMU NA KUJUA IVO ???????
AU WALIFAHAMU NA KUELEWA NINI KUHUSU JIGRAFIA NA ANGA KIUJUMLA ??????
ndugu hayo ni mwaswali muhimu ya kujiuliza.......................
halafu ndugu yangu kuna shida mbili au tatu naziona kwenye baadhi ya post zako
Yawezekana umeyaona hayo kwa kuwa MITAZAMO yetu Tofauti. Mimi natumia biblia kwa majira yote, yaliopita, haya na yajayo; sijui kwa hilo kama tuna mtazamo sawa. Kwangu mimi BIBLIA NI DIRA/MWONGOZO kwa vile jinsi Mungu atanijaria kufahamu. Nakubari kukosolewa na huwa napima ukosoaji kama sahihi au la.tatizo la kutokuzingatia nyakati/wakati kitabu husika cha biblia kinaandikwa
tatizo la kutokuzingatia mazingira halisi yaliokuwepo na kuonekana wakati kitabu husika cha biblia kinaandikwa
tatizo la kutokuzingatia ufahamu, ujuzi na uelewa wa watu wakati kitabu husika cha biblia kinaandikwa (mfano hapa waweza rejea post yako unayoelezea kuhusu jiografia hapa chini)
so unaweza jiuliza swali kuwa hii jiografia tunayo ifahamu mimi na wewe kwa sasa, ufahamu wa sayari na anga tunaoufahamu mimi na wewe kwa sasa ENZI ZA MNARA WA BABELI WALIFAHAMU NA KUJUA IVO ???????
AU WALIFAHAMU NA KUELEWA NINI KUHUSU JIGRAFIA NA ANGA KIUJUMLA ??????
ndugu hayo ni mwaswali muhimu ya kujiuliza.......................
Kwa upande wangu sidhani kama ni bahati mbaya....mkuu kwa mawazo yangu kuhusu huo ufanano wa majengo unao uzungumzia, nadhani ni BAHATI MBAYA TU IMETOKEA YAKAFANANA.............
labda hao jamaa walipenda design ya jengo kama hilo la mnara wa babeli (ila sidhani kama lengo/dhamira yao ilikuwa inafanana na wajenzi wa huo mnara wa babeli)
na ninachokifahamu mimi kuhusu mnara wa babeli ni kwamba
MUNGU HAKUCHUKIZWA/HAKUKASIRISWHA NA JENGO KAMA JENGO (jengo lenyewe) wala design ya hilo jengo la mnara wa babeli
ila kilichomchikiza/kumkasirisha Mungu ni LENGO/DHAMIRA YA WAJENZI WA HUO MNARA
so binafsi kuhusu ufanano wa hayo majengo sioni kama kuna tatizo hapo
na nafikri kuna majengo marefu zaidi ya hilo jengo la bunge la ulaya
Mkuu hii kauli yako imenifanya nicheke sana tena sana aisee....Ugumu unakuja pale mtu anapozolewa na propaganda za Shetani. Mfano
- kule U-tube ndo usiseme, ukiingia kichwa kichwa utakutana na clips za ajabu sijui kuna viumbe toka anga zingine wameonekana sijui wapi. Sasa wewe hujiulizi hawa viumbe wanaonekana U-tube tu mbona hata siku moja vyombo vyetu vya habari haviripoti!
Naviamini kuliko u tube. (kasoro TBC hii siiamini na usiniulize why) Ni vigumu kudanganya kwenye chombo kama BBC kuliko kudanganya u tube. Ila simaanishi u tube ni mbaya kiujumla la hasha, mana kuna habari nzuri kwenye vyombo vya habari visipewe nafasi ukavipata U-tubeMkuu hii kauli yako imenifanya nicheke sana tena sana aisee....
Mkuu unaviamini sana vyombo vya habari eeeeh??
Hapo kwenye blue, Mdau mwenyewe ni mimi;Lakin mdau aliesema 666 ni mwana mfalme wa uingereza kwa kweli naona anatupeleka kule kule kwa papa, ellen,usa nk ambapo ni utabiri feki. nilimsikia padre amigu akisema akisema huyo 666 alishakuwepo kwenye utawala wa rumi! nae alitiingiza chaka.
Hahahahahaaaaaa.....Naviamini kuliko u tube. (kasoro TBC hii siiamini na usiniulize why) Ni vigumu kudanganya kwenye chombo kama BBC kuliko kudanganya u tube. Ila simaanishi u tube ni mbaya kiujumla la hasha, mana kuna habari nzuri kwenye vyombo vya habari visipewe nafasi ukavipata U-tube
Upagani wote unaasili ya Babeli,siyo Babeli ya Nebuchadnezzar bali ya Nimrod......Kumbe europe ina asilili ya mwanamke? sikuwai kujua hilo.
kumbe hata wao walikua na upagani kama kule misri maana kule kulikua na miungu wengi wanawake.
kwa vyovyote ukweli utabakia hilo jengo halipo kwa bahati mbaya! ni makusudio specific