Bunge la Ulaya: Hii ni bahati mbaya au ni malengo maalum?

Ninapoona watu weusi wanapobishania dini za kigeni na kujinasibisha nazo ndio najuwa kuwa wazungu na waarabu hawakuja kutembea
 
Ufunuo 17:3
3 Akanichukua katika Roho hata jangwani, nikaona mwanamke, ameketi juu ya mnyama mwekundu sana, mwenye kujaa majina ya makufuru, mwenye vichwa saba na pembe kumi.
Pembe kumi ni ile mikoa kumi ya Dunia mpya.
Mwanamke ni kanisa kahaba ni mchanganyo wa mambo

hapa nitatoa sifa za kanisa hilo
wanamix vitu kama biashara, elimu, matibabu, siasa,uchumi, ulinzi na usalama au majeshi na upelelezi, kwakuwa tumeambiwa kuwa huyu kahaba mkuu ana binti zake nao wanafanana na mamao michanganyo tunawaona binti wakiwepo kwenye siasa elimu uchumi/fedha au bank, afya au matibabu au hospital,siasa, kwahyo haina shaka hawa ni katoliki na wanawe.
 
Ni wapi kwenye Ufunuo panasema mwanamke ni kanisa?

Mimi ninaweza kukuonesha panaposema mwanamke siyo kanisa....
 
Kuna sehemu inasema Nguruwe ni Haramu kuliwa, lakini kuna sehemu watu wameelewa sio haramu na ni safi kwa kuliwa, nadhani namna ya uelewa tu. Maana yesu ni Bwana wetu, je ametuoa???

hii inaeleza vizuri kabisa tuandae kanisa na liwe tayari kama bibi harusi ili atakaposhuka Bwana wetu atuchukue, uelewa wangu kanisa ni mwanamke na Bwana wake ni Yesu.
 
Ni sahihi wewe kusema huo ni uelewa wako na siupingi...

Ninachopinga ni wewe kuuleta hapa ili na sisi tuelewe kama wewe...

Kwenye kitabu cha Ufunuo 17 malaika alimueleza Yohana maana ya mwanamke,ni kwanini wewe unaiacha maana iliyosemwa na malaika na kufuata yako?
 
Back
Top Bottom