Leo Jumatatu bunge la Ulaya litapiga kura kuhusu matumizi ya bitcoin na sarafu nyingine.
Matokeo ya kura hiyo yataamua kuhusu matokeo ya baadae ya bitcoin.
Wanatumia kigezo cha mazingira kwakuwa uchimbaji wa bitcoin unatumia nishati kubwa ambayo uzalishaji wake unachafua mazingira.
Hii kura ikienda against bitcoin, kuna hatari thamani yake ikaanguka zaidi