Bunge la Ulaya latishia kuinyima misaada Tanzania

Shithole. Magonjwa yao ya kutengeneza ili waje kujifanya kusaidia huku wakipora rasilimari zetu tumeshawashitukia sasa mwendo wa wachina na warusi tu nyinyi mnaowaabudu wazungu hamieni huko.
Tengenezeni na nyie mwapelekeee na baadaye muuze dawa.Mmejiandaa au tunaandalia tumboni tu,zetu na familia zetu?
 
Yaani hata hela za uchaguzi tunaomba,. yoo mawee🙆🏽‍♂
 
Tutumie vizuri rasilimali tulizonazo hawa jamaa wanatuendesha kweli kweli na hii misaada yao. Watuzungusha tuu kama antena
 
Wanaodai shida zote za nchi hii zimeletwa na Nyerere unawaelewa mkuu?
Nyerere ameleta elimu bure hadi University , afya bure, TAZARA na barabara ya Dar-Tunduma. Nyerere kaanzisha mashirika ya umma 400

Nyerere hakuchimba madini aliacha Watanzania waelimike ndipo baadaye waje kuanzisha uchimbaji. Kuhusu Katiba alisema haifai irekwbishwe


Hicho mnachomlaumu Nyerere ni kipi? Na katoka madarakani mwaka 1984. SIWAELEWI wanaomlalamikia Nyerere
 
 
Wanyimwe tu si watatumia pesa za ndani
LaZima wanyooke na watakuwa na discipline

Ova
 
Kwa sababu hujui english ndio maana unashindwa kuwaambia
Slavery mentality ndio inakusumbua kwani hata kama ningekuwa sijui hiyo English yako ingenifanya kuondolewa utu wangu!!? Wewe nyumbu akili zako ni kama shithole tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…