Bunge la Ulaya latishia kuinyima misaada Tanzania

Bunge la Ulaya latishia kuinyima misaada Tanzania

Misaada inalemaza akili mf nchi zote zilizo wekewa vikwazo zimepambana na kujitengemea
 
Kama mdogo kwa nini waliomba?

Bunge la ulaya laijadili Tanzania leo , lasema kama uchaguzi utafanyika na baadhi ya washiriki kuzuiliwa kushiriki kwa sababu za kisisa , eu wasitoe hata kumi kati dolla milioni 8 walizo omba tanzania kwa ajili ya uchaguzi👍


#NO REFORMS NO ELECTION NDANI YA EUROPEAN UNION 💪

View attachment 3407278
Vitu vingn havifai hata kupost maan wazungu wanatuchukulia bdo tuko enzi za nyerere na swala la hela tangu awam ya 5 serikari ilitumia hela za ndani kwenye uchaguzi wasituingilie nchi yetu matatizo yetu ya siasa nikuyakabili wenyewe wawaze yao
 
Wacha tuu turudi Enzi zile za kuvaa mawingu na kaniki ili tuwe na adabu na kuheshimu haki za binaadamu.
 
Bunge la ulaya laijadili Tanzania leo , lasema kama uchaguzi utafanyika na baadhi ya washiriki kuzuiliwa kushiriki kwa sababu za kisisa , eu wasitoe hata kumi kati dolla milioni 8 walizo omba tanzania kwa ajili ya uchaguzi👍


#NO REFORMS NO ELECTION NDANI YA EUROPEAN UNION 💪

View attachment 3407278
Shikisha adabu samia, ajambe mishuzi,
 
Hatuzihitaji wakae nazo hatutaki misaada ya masharti waambie hivyo!
Viongozi wako ni matajiri kutokana na fedha za wahisani. Wewe hujui kitu nyamaza. USAID ameenda... EU ndo walahu wanawaza miradi ya kuwasaidia bibi na Babu zako kule vijijini!
 
Hatuzihitaji wakae nazo hatutaki misaada ya masharti waambie hivyo!
Jinga pumbavu wewe, huzitaki? Hata hizo dawa wanazowatumia kupunguza magonjwa ya mlipuko na ukimwi hilo bara mtatoweka na kuchukuliwa na wachina, waarabu na wahindi. Ukifikia hatua ya kujilisha ndiyo useme hivyo wewe masikini jeuri. Hata kutengeneza diaper huwezi uaanza kutukana mkono unaokulisha
 
Sijui Chadema ndo waliomba???
Kuna watu wapumvavu sana nchi hii. Walioomba ni CCM na Maza halafu lawama wanataka kuwapa Chadema. Aliyemtungia kesi na kumkamata Lissu ni Maza na team yake. Sasa mambo yamewakaba.

Wanachokiomba Chadema ni uchaguzi wa huru na haki. Tatizo liko wapi? Yaani kweli Watanzania tuko tayari kusacrifice kila kitu kwa ajili tu ya Maza kurudi Magogoni? Hii ni akili au Matope....!?
 
Bunge la Ulaya La Ibana Umoja wa Ulaya Kuhusu Demokrasia. Mbunge Eva Vlaardingerbroek asisitiza viongozi wa Umoja wa Ulaya akiwemo rais wa EU Ursula von der Leyen kulivalia njuga kuporomoka kwa demokrasia na kuacha kufumbia macho ama sivyo watapiga kura ya kutokuwa na imani na rais wa EU Bi. Ursula von der Leyen ...

Hotuba iliyokwenda viral ya Eva Vlaardingerbroek Dhidi ya Ursula von der Leyen |​


View: https://m.youtube.com/watch?v=vseM6MMk9qo

Kwenye hotuba yake mbunge Eva Vlaardingerbroek Dhidi ya Ursula von der Leyen Rais wa Tume ya Umoja wa Ulaya anapokabiliwa na kupigiwa kura muhimu ya kutoaminiwa, hotuba ya mbuge Eva Vlaardingerbroek anafichua kile anachokiita "udanganyifu wa demokrasia" katika EU, anadai kuwa Rais wa sasa wa EU / Umoja wa Ulaya Bi. Ursula von der Leyen ameingia kinyemela bila kuchaguliwa, na anamshutumu kwa kusukuma sera za uharibifu - kutoka kwa Mpango wa Kijani hadi uhamiaji wa watu wengi na mikataba ya siri ya makampuni makubwa ya dawa pharmacia .
 
Bunge la Ulaya La Ibana Umoja wa Ulaya Kuhusu Demokrasia. Mbunge Eva Vlaardingerbroek asisitiza viongozi wa Umoja wa Ulaya akiwemo rais wa EU Ursula von der Leyen kulivalia njuga kuporomoka kwa demokrasia na kuacha kufumbia macho ama sivyo watapiga kura ya kutokuwa na imani na rais wa EU ...

Hotuba ya Virusi ya Eva Vlaardingerbroek Dhidi ya Ursula von der Leyen |​


View: https://m.youtube.com/watch?v=vseM6MMk9qo

Kwenye hotuba yake mbunge Eva Vlaardingerbroek Dhidi ya Ursula von der Leyen Rais wa Tume ya Umoja wa Ulaya anapokabiliwa na kupigiwa kura muhimu ya kutoaminiwa, hotuba ya mbuge Eva Vlaardingerbroek anafichua kile anachokiita "udanganyifu wa demokrasia" katika EU, anadai kuwa Rais wa sasa wa EU / Umoja wa Ulaya Bi. Ursula von der Leyen ameingia kinyemela bila kuchaguliwa, na anamshutumu kwa kusukuma sera za uharibifu - kutoka kwa Mpango wa Kijani hadi uhamiaji wa watu wengi na mikataba ya siri ya makampuni makubwa ya dawa pharmacia .


Hii ina maana mtambuka, na huku utawala wa awamu ya sita Tanzania utazidi kumulikwa, kuhusu mambo yasiyofaa yanayoendelezwa na utawala wa chama dola kongwe CCM
 
Bunge la ulaya laijadili Tanzania leo , lasema kama uchaguzi utafanyika na baadhi ya washiriki kuzuiliwa kushiriki kwa sababu za kisisa , eu wasitoe hata kumi kati dolla milioni 8 walizo omba tanzania kwa ajili ya uchaguzi👍


#NO REFORMS NO ELECTION NDANI YA EUROPEAN UNION 💪

View attachment 3407278
Kama wanaweza wazipeleke chadema zikaliwe na boniyai na msela wake wegesa heche
 
Serikali ilishasema uchaguzi huu hautagharamiwa na yoyote nje ya serikali

Hiyo pesa wanafahammu kwamba Tanzania haiitaki

Watumie Kwa kwzi nyingine
Hata ndege tuliambiwa tumenunua kwa pesa zetu baada ya mwenda zake kwenda tunalipa madeni ya ndege
 
Waliambia furniture kesi mukakataa,swali je walikuwa wapuuzi? Wamekaa na kutoa tamko mkapuuza let them make decisions
 
Tanzania siyo nchi huru; ndiyo maana waTanzania wenyewe wataikomboa nchi hii kutoka kwa Genge linalolazimisha kuwatawala waTanzania.

Haya ni mapambano yetu wenyewe, tutamalizana hapa hapa.
Nchi aoikomboa Nyerere bwana, wacheni kujidhalilisha hapa
 
Back
Top Bottom