HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Wasitishie tu wainyime kabisa kwani misaada hiyo inafaida gani kwa wananchi zaidi ya kuwafuga viongozi majizi
Kumbe ukibanwa unaishia hapa. Jitahidi ujibu maswali ndg kada. Matusi hapana.Wacenge mpo wengi humu
Mliomba ya nini kama hamuihitaji? Au ndiyo ile ya 'sizitaki mbichi hizi'.Hatuzihitaji wakae nazo hatutaki misaada ya masharti waambie hivyo!
Bunge la ulaya laijadili Tanzania leo , lasema kama uchaguzi utafanyika na baadhi ya washiriki kuzuiliwa kushiriki kwa sababu za kisisa , eu wasitoe hata kumi kati dolla milioni 8 walizo omba tanzania kwa ajili ya uchaguzi👍
#NO REFORMS NO ELECTION NDANI YA EUROPEAN UNION 💪
View attachment 3407278
Usilazimishe mambo yasiyokuwepo, Rais wetu alishasema serikali inagharimia uchaguzi kwa asilimia 100. Uelezweje?Mliomba ya nini kama hamuihitaji? Au ndiyo ile ya 'sizitaki mbichi hizi'.
Yule bibi tapeli ukimuamini basi utaamini kila aina ya ujinga, tapeli anayeji-contradict kila uchwao unamuaminije au na wewe ni walewale mambumbumbu msiojielewa? Si ndiyo huyu aliwatapeli kwa kuwapotosha kuwa uchumi wa Tanzania uko vizuri kuliko ule wa nchi za EU na za North America na chawa wote mkashangilia?Usilazimishe mambo yasiyokuwepo, Rais wetu alishasema serikali inagharimia uchaguzi kwa asilimia 100. Uelezweje?
Which role are you playing to make your wish come true ?Natamani Rais Samia na mgombea wa ccm asusiwe na kutengwa na kila mtu ili abakie peke yake na familia yake
Maswali ya kijinga!!?Kumbe ukibanwa unaishia hapa. Jitahidi ujibu maswali ndg kada. Matusi hapana.
Wewe naye dish limeyumbaUsilazimishe mambo yasiyokuwepo, Rais wetu alishasema serikali inagharimia uchaguzi kwa asilimia 100. Uelezweje?
Relax gentleman, mihemko ni nonsense, jikite kwenye hoja 🐒Gentleman wa nyoko
haya yote serikali ya mama inashupaza shingo kwa sababu tukiwekewa vikwazo wao wameshajilimbikizia mali, wana marupurupu,hawataumia chochote, wao na watoto wao wapo salama, ila raia wa nchi hii ndio wataumia.Bunge la ulaya laijadili Tanzania leo , lasema kama uchaguzi utafanyika na baadhi ya washiriki kuzuiliwa kushiriki kwa sababu za kisisa , eu wasitoe hata kumi kati dolla milioni 8 walizo omba tanzania kwa ajili ya uchaguzi👍
#NO REFORMS NO ELECTION NDANI YA EUROPEAN UNION 💪
View attachment 3407278
Mwambie Sa100 awajibu hivyo km ana ubavuSerikali ilishasema uchaguzi huu hautagharamiwa na yoyote nje ya serikali
Hiyo pesa wanafahammu kwamba Tanzania haiitaki
Watumie Kwa kwzi nyingine
Iran ni kitu ingine mkuu. Usitufananishe na wababe wanaopigana na Israel mpaka wanakaa mezani kuyamaliza. Size yetu Burundi, South Sudan, Zambia labda.Hapo sio hizo pesa pekee za uchaguzi walizoomba kukataliwa kwamba ndio kama kikwazo wanachotoa, hii ina maana EU hawatoutambua huo uchaguzi ndicho wana maanisha, na kitakachotokea ni kuanza kuishi kama Iran.
Wabaki na pesa yaoBunge la ulaya laijadili Tanzania leo , lasema kama uchaguzi utafanyika na baadhi ya washiriki kuzuiliwa kushiriki kwa sababu za kisisa , eu wasitoe hata kumi kati dolla milioni 8 walizo omba tanzania kwa ajili ya uchaguzi👍
#NO REFORMS NO ELECTION NDANI YA EUROPEAN UNION 💪
View attachment 3407278
Hana haja ya kujibu upuuziMwambie Sa100 awajibu hivyo km ana ubavu