Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
kemea pepo mauti hilo gentleman limekuzonga fikra 🐒Jinyonge
kemea pepo mauti hilo gentleman limekuzonga fikra 🐒Jinyonge
Akikujibu unitagSs kwann mlituma maombi ya pesa mkuu Kwa wenye nazo km mko nazoo🤔
kama ndogo ni kwa nini mliziomba?Dola milioni nani ni bilioni 18,pesa ndogo sana
Huko kwa mabwana zako hawajengi matundu ya choo,wanya angani?.. ng'ombe wao hawanywi maji?Ni ndogo kwa nchi ambayo mnajenga matundu ya choo na ni ndogo kwa nchi watu wanakunywa maji na Ngombe.
Kuziomba hakuzifanyi kuwa nyingiKwanini mliomba kama ni pesa ndogo?
Kumbe Kijamkazi aliomba hela za Uchaguzi??? Kijamkazi ni 🚮🚮🚮🚮 kwelikweliBunge la ulaya laijadili Tanzania leo , lasema kama uchaguzi utafanyika na baadhi ya washiriki kuzuiliwa kushiriki kwa sababu za kisisa , eu wasitoe hata kumi kati dolla milioni 8 walizo omba tanzania kwa ajili ya uchaguzi👍
#NO REFORMS NO ELECTION NDANI YA EUROPEAN UNION 💪
View attachment 3407278
Kama ulikataa mwenyewe unategemea nini!?Kumbe mmekusudia baadhi ya vyama vya siasa visishiriki uchaguzi kwa sababu za kisiasa.
Wacenge mpo wengi humuMliziomba za nini,na si mlisema gavoo itasimamia bajeti ya uchaguzi kwa 100%
Bilioni 18 ni ndogo,siamini kama umewahi kushika hata lakini Moja cash
Awabariki tango ili likuchane 'kinywa'Mungu mbariki Mzungu
Deni lote hilo bado tumeomba tena dola milioni nane huko ulaya? Ama kweli sikio la kufa, bora wasitupatie maana tutazilipaje sijuiBunge la ulaya laijadili Tanzania leo , lasema kama uchaguzi utafanyika na baadhi ya washiriki kuzuiliwa kushiriki kwa sababu za kisisa , eu wasitoe hata kumi kati dolla milioni 8 walizo omba tanzania kwa ajili ya uchaguzi👍
#NO REFORMS NO ELECTION NDANI YA EUROPEAN UNION 💪
View attachment 3407278
Ni sawa.Akizungumza katika mjadala wa Bunge la Ulaya, Mbunge wa Umoja wa Ulaya, Michael Gahler, amelitaka bunge hilo kuinyima Tanzania misaada kama haitawezesha chama kikuu cha upinzani (Chadema) kushiriki uchaguzi.
View attachment 3407272
Gentleman wa nyokokemea pepo mauti hilo gentleman limekuzonga fikra 🐒
Ukweli ni kwamba Bibi Chura anajichumia dhambi bure tu maana hicho kiti wala hatakikalia baada ya Uchaguzi; njia ni ile ile!Hatuzihitaji wakae nazo hatutaki misaada ya masharti waambie hivyo!
WachaweeeeeHatuzihitaji wakae nazo hatutaki misaada ya masharti waambie hivyo!
NASHAURI tukajae kwenye page Yao ya Instagram tuombe watusaidie haki ithaminiwe TanzaniaBunge la ulaya laijadili Tanzania leo , lasema kama uchaguzi utafanyika na baadhi ya washiriki kuzuiliwa kushiriki kwa sababu za kisisa , eu wasitoe hata kumi kati dolla milioni 8 walizo omba tanzania kwa ajili ya uchaguzi👍
#NO REFORMS NO ELECTION NDANI YA EUROPEAN UNION 💪
View attachment 3407278
We unaichukulia poa EU . Kwa akili yako unajua wana angage misaada tu . Machawa mshavurugwa aiseeHatuzihitaji wakae nazo hatutaki misaada ya masharti waambie hivyo!
OKTOBA TUNATIKI, Pesa ya uchaguzi ni ya kwetu wenyewe. Hao mbwa koko siku hawana meno hawaogopwi wanaishia kubweka tu. Wamefukuzwa west Africa na hawajafanya kitu, wao wenyewe sahv ni njaa tu.Bunge la ulaya laijadili Tanzania leo , lasema kama uchaguzi utafanyika na baadhi ya washiriki kuzuiliwa kushiriki kwa sababu za kisisa , eu wasitoe hata kumi kati dolla milioni 8 walizo omba tanzania kwa ajili ya uchaguzi👍
#NO REFORMS NO ELECTION NDANI YA EUROPEAN UNION 💪
View attachment 3407278
Tuko na Rais wetu, ni wetu watanzania siyo rais wa jumuiya ya UlayaNatamani Rais Samia na mgombea wa ccm asusiwe na kutengwa na kila mtu ili abakie peke yake na familia yake
Una akili usikilizweMidomo ya kwao, muda wa kwao, hakuna namna tunaweza kuwapangia cha kuongea. Lakini hawana uwezo wa kufanya lolote kwa nchi huru kama Tanzania