Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
Kumbe huwa tunawapa wasanii hela za kuomba
Ila masikin tuna akili mbovu sana
Ila masikin tuna akili mbovu sana
TUndu je?? Mbona yupo ndani wamtoe ili wafe kwa presha kwanza hawana nguvu hiyo kama mpo fair mtoeniUkoloni mambo leo.
Uzuri Tz hakuna aliezuiliwa kushiriki.
"Hatuzihitaji wakae nazo hatutaki misaada ya masharti wambie hivyo!"Hatuzihitaji wakae nazo hatutaki misaada ya masharti waambie hivyo!
SIyo mapumbu tu hata na mbo.o...wewe ning'iniza mapumbu tu na kutoa povu utadhani hizo hela unasema unatoa mfukoni mwako masikini wahedi.
..ona ujinga wako..nchi kuzungumziwa kwa mwelekeo hasi kwako unaona sifa, foreign policy yao ikifeli na china ikifaulu wewe unapata nini..kwenye mjadala huo wamezodoana vyema wao kwa wao kwamba china na rassia wanafanya vizuri zaidi Africa ukilinganisha na wao ambao EU-AFRICA POLICY IMEFELI VIZURI SANA.
ndio maana kazee kana kiria hakana taarifa za kutosha kuhusuTanzania halafu kanaropoka ropoka tu![]()
Bunge la ulaya laijadili Tanzania leo , lasema kama uchaguzi utafanyika na baadhi ya washiriki kuzuiliwa kushiriki kwa sababu za kisisa , eu wasitoe hata kumi kati dolla milioni 8 walizo omba tanzania kwa ajili ya uchaguzi👍
View: https://www.facebook.com/share/v/1R8XVSWP3U/
#NO REFORMS NO ELECTION NDANI YA EUROPEAN UNION 💪
Pesa ndogo ila unaitakaDola milioni nani ni bilioni 18,pesa ndogo sana
..ipo siku tutakata hayo mapumbu.SIyo mapumbu tu hata na mbo.o.
Tunarudisha pesa zetu walizochukuwa wakati wa ukoloni.Why mliomba
Tanzania siyo nchi huru; ndiyo maana waTanzania wenyewe wataikomboa nchi hii kutoka kwa Genge linalolazimisha kuwatawala waTanzania.Midomo ya kwao, muda wa kwao, hakuna namna tunaweza kuwapangia cha kuongea. Lakini hawana uwezo wa kufanya lolote kwa nchi huru kama Tanzania
Njoo hata leo tu. Baadae nyumbu wenzio wataanza kulialia humu!..ipo siku tutakata hayo mapumbu.
Unajua maana yake ,kama hata senti moja haitoki so wanamanisha hata uyo Rais atae patikana hatatambuliwaHatuzihitaji wakae nazo hatutaki misaada ya masharti waambie hivyo!
Ndogo mngeiomba?Dola milioni nani ni bilioni 18,pesa ndogo sana
Si umeambiwa selekali ya Tanzania imeomba dora 18 milioni au unajitoa akili apa?Waombe wapi
..rudisha kinyesi chako kwanza.Tunarudisha pesa zetu walizochukuwa wakati wa ukoloni.
Tukimtambua sisi watz inatosha.Unajua maana yake ,kama hata senti moja haitoki so wanamanisha hata uyo Rais atae patikana hatatambuliwa