Bunge la Ulaya latishia kuinyima misaada Tanzania

Bunge la ulaya laijadili Tanzania leo , lasema kama uchaguzi utafanyika na baadhi ya washiriki kuzuiliwa kushiriki kwa sababu za kisisa , eu wasitoe hata kumi kati dolla milioni 8 walizo omba tanzania kwa ajili ya uchaguzi👍

View: https://www.facebook.com/share/v/1R8XVSWP3U/

#NO REFORMS NO ELECTION NDANI YA EUROPEAN UNION đź’Ş

kazee kamepotoshwa na kanawapiga biti mabaolozi wa EU huenda ni kwasababu hakafahamu ustaraabu na sheria za kimataifa. Tanzania sheria zetu ni active na anaekiuka anawajibishwa kikamilifu bila kujali mayowe ya ndani au nje ya nchi :putinWalk:
 
Natumaini wamesikia ujumbe huu watawala wa serikali ya awamu ya 6
Ziara ya yake Waziri wa Mambo ya nje wa Cyprus, Dkt. Constantinos Kombos, mwakilishi wa bunge la Ulaya anasema amedanganywa sana na kina Mahmoud Kombo kuwa mambo ni shwari Tanzania
1752600577941.jpeg

Waziri Mahmoud Thabit Kombo
 
kazee kamepotoshwa na kanawapiga biti mabaolozi wa EU huenda ni kwasababu hakafahamu ustaraabu na sheria za kimataifa. Tanzania sheria zetu ni active na anaekiuka anawajibishwa kikamilifu bila kujali mayowe ya ndani au nje ya nchi :putinWalk:
1752600333924.jpeg
 
Unajipotosha mwenyewe, wao hawahitaji kitu chochote zaidi ya kutetea ustaarabu.
 
..una nini zaidi ya matako, uliziomba za nini km unao uwezo.
Kum wewe!! kaa pembeni tumeshafanya bajeti na uchaguzi tunaugharamia sisi wenyewe. Wafuate kwao mabwana zako kama inakuuma sana kufanya sisi uchaguzi
 
Hatuzihitaji wakae nazo hatutaki misaada ya masharti waambie hivyo!
Kauli zakishujaa maboss zako omba omba hawana hizi hela wanazitaka

No reform No Election
 
  • Dislike
Reactions: UCD
Unajipotosha mwenyewe, wao hawahitaji kitu chochote zaidi ya kutetea ustaarabu.
kwenye mjadala huo wamezodoana vyema wao kwa wao kwamba china na rassia wanafanya vizuri zaidi Africa ukilinganisha na wao ambao EU-AFRICA POLICY IMEFELI VIZURI SANA.

ndio maana kazee kana kiria hakana taarifa za kutosha kuhusuTanzania halafu kanaropoka ropoka tu :putinWalk:
 
Back
Top Bottom