Bunge la Ulaya latishia kuinyima misaada Tanzania

Bunge la Ulaya latishia kuinyima misaada Tanzania

..ona ujinga wako..nchi kuzungumziwa kwa mwelekeo hasi kwako unaona sifa, foreign policy yao ikifeli na china ikifaulu wewe unapata nini..
lini kwamfano hata wewe tu umeielezea Tanzania positively?

kazee kama kale katamshawishi nani huko bungeni ulaya aamini kitu ambacho hata yeye mwenyewe hana detailed informations kama alivyokiri?

ni nonsense tupu, EU au block yeyote ulimwenguni hawawezi kuielekeza Tanzania namna ya kupractice demokrasia :putinWalk:
 
  • Thanks
Reactions: UCD
N
Bunge la ulaya laijadili Tanzania leo , lasema kama uchaguzi utafanyika na baadhi ya washiriki kuzuiliwa kushiriki kwa sababu za kisisa , eu wasitoe hata kumi kati dolla milioni 8 walizo omba tanzania kwa ajili ya uchaguzi👍


View: https://www.facebook.com/share/v/1R8XVSWP3U/

#NO REFORMS NO ELECTION NDANI YA EUROPEAN UNION 💪

Nilisema humu,

Waswahili maneno mengi,

Hawana pesa ya uchaguzi .

Ni shart waridhie reforms kabla ya uchaguzi.
 
lini kwamfano hata wewe tu umeielezea Tanzania positively?

kazee kama kale katamshawishi nani huko bungeni ulaya aamini kitu ambacho hata yeye mwenyewe hana detailed informations kama alivyokiri?

ni nonsense tupu, EU au block yeyote ulimwenguni hawawezi kuielekeza Tanzania namna ya kupractice demokrasia :putinWalk:
Wangekuwa hawawezi kuielekeza hilo bakuli mlipeleka la nini..
 
Duh! 🙄 Hata uchaguzi tu mpaka tuombe msaada, hii nchi ni failed state na wahuni wachache tu ndio wametufikisha hapa.
Kwani Hela hakuna basiiii !? Hela zipo ila watu wanataka kuzipiga kijanja pesa za mabeberu halafu katika malipo watubebeshe sisi Wananchi zigo la kulipa Kwa kutukamua katika ulipaji Kodi
 
kazee kamepotoshwa na kanawapiga biti mabaolozi wa EU huenda ni kwasababu hakafahamu ustaraabu na sheria za kimataifa. Tanzania sheria zetu ni active na anaekiuka anawajibishwa kikamilifu bila kujali mayowe ya ndani au nje ya nchi :putinWalk:
Dikteta samia kwasasa ni kama SIAFU, yuko tayari kichwa kiachane na kiwiliwili lakini abakie ameshikilia madaraka tu.
 
Mkatae pia kupewa msaada wa zile dawa za kufubaza makali ya HIV ili tuone jeuri yenu.
Kwenye bajeti ujaona tumeweka tozo kwenye mafuta? Au hujasoma hata bajeti au uko kwa mabeberu?
 
Watu wenye kukosa pesa ya kujenga matundu ya vyoo,

Wapate wapi pesa ya uchaguzi,

Na wizi wamwachie nani?

NRNE 💪 🔥
Kwani 2020 walitoa hata senti 5 mbona ulifanyika?
 
Bunge la ulaya laijadili Tanzania leo , lasema kama uchaguzi utafanyika na baadhi ya washiriki kuzuiliwa kushiriki kwa sababu za kisisa , eu wasitoe hata kumi kati dolla milioni 8 walizo omba tanzania kwa ajili ya uchaguzi👍


View: https://www.facebook.com/share/v/1R8XVSWP3U/

#NO REFORMS NO ELECTION NDANI YA EUROPEAN UNION 💪


Mbona tunaambiwa kwamba uchaguzi unagalimiwa na fedha za ndani na hii clip inasema kwamba tumeomba, ukweli uko wapi?
 
Back
Top Bottom