Bunge la Ulaya latishia kuinyima misaada Tanzania

Bunge la Ulaya latishia kuinyima misaada Tanzania

Si tunatumia
Bunge la ulaya laijadili Tanzania leo , lasema kama uchaguzi utafanyika na baadhi ya washiriki kuzuiliwa kushiriki kwa sababu za kisisa , eu wasitoe hata kumi kati dolla milioni 8 walizo omba tanzania kwa ajili ya uchaguzi👍

View: https://www.facebook.com/share/v/1R8XVSWP3U/

#NO REFORMS NO ELECTION NDANI YA EUROPEAN UNION 💪

Hela zetu za ndani😂😂😂😂
 
Wasitoe halafu tuone itakuwaje. Zimbabwe ina zaidi ya miaka ishirini haipati misaada au mikopo ya EU na bado ipo seuse sie?
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Hukusikia bajeti ya mwaka wa fedha 2025/2026? Uchaguzi tunaugharamia sisi wenyewe kwa hiyo watoe wasitoe uchaguzi upo palepale!
Hizo ni siasa kiufi bajeti inayosomwa na serikali utekelezaji wake wa bajeti haufikagi hata 80 ya utekelezaji wake unaweza kuskia wizara fulani bajeti yake Mfano bilioni 800 unakuta inaenda mwaka mzima unamalizika wamepeleka bilioni 500 tu
 
Attachments

  • img_1_1752603141183.jpg
    img_1_1752603141183.jpg
    127.3 KB · Views: 13
Natamani Rais Samia na mgombea wa ccm asusiwe na kutengwa na kila mtu ili abakie peke yake na familia yake
Sie tunataman aendelee kupata mafanikio na aifikishe Tanzania salama kwa awamu ingine...mungu anapokea maombi ya wote nyie mkiomba mabaya Kuna watu wanamuombea mazur
 
Back
Top Bottom