Bunge la Ulaya latishia kuinyima misaada Tanzania

Bunge la Ulaya latishia kuinyima misaada Tanzania

Serikali ilishasema uchaguzi huu hautagharamiwa na yoyote nje ya serikali

Hiyo pesa wanafahammu kwamba Tanzania haiitaki

Watumie Kwa kwzi nyingine
Wanasema but in practice sio kweli na Kwa sababu Dunia ni Kijiji haya Ndio ya ayotokea sasa. Wangezitoa kimya kimya usingejua na wangesema wametumia za ndani!
 
Wanafikiri wale mabalozi wanaonenda kwenye kesi ya Lissu wameenda pale kuuza sura!
Kumbe wanapeleka kila taarifa ya kinachoendeleaa!
Ila uafrika ni laana,Mungu wabariki wazungu.
 
Akizungumza katika mjadala wa Bunge la Ulaya, Mbunge wa Umoja wa Ulaya, Michael Gahler, amelitaka bunge hilo kuinyima Tanzania misaada kama haitawezesha chama kikuu cha upinzani (Chadema) kushiriki uchaguzi.


 
Akizungumza katika mjadala wa Bunge la Ulaya, Mbunge wa Umoja wa Ulaya, Michael Gahler, amelitaka bunge hilo kuinyima Tanzania misaada kama haitawezesha chama kikuu cha upinzani (Chadema) kushiriki uchaguzi.


View attachment 3407272
nonsense,
Demokrasia ujerumani na ufaransa ziko at risk wamekaa kimya halafu eti ng'we ng'we ng'we Tanzania sijui nini,

useless kabisa 🐒
 
Hatuzihitaji wakae nazo hatutaki misaada ya masharti waambie hiv
Ombaomba wa Tz hataki misaada kw kua ina mashart!! Lkn analo kopo mkonon na anazngka nalo kila mahli!! Tuone xaxa kama atabadili mawazo- aachane na huo mkopo au atafngua milango kw NRNE!
 
Kwan si walisema uchaguzi utaendeshwa kwa fedha za ndani ,sasa hii dollar 8M zinatoka wapi tena
 
Natumaini wamesikia ujumbe huu watawala wa serikali ya awamu ya 6
Ziara ya yake Waziri wa Mambo ya nje wa Cyprus, Dkt. Constantinos Kombos, mwakilishi wa bunge la Ulaya anasema amedanganywa sana na kina Mahmoud Kombo kuwa mambo ni shwari Tanzania
View attachment 3407109
Waziri Mahmoud Thabit Kombo
Sawa
 
unazungumzia tone tone kwenye kibakuli ya chadema au?🐒
zero distance, Mama yenu wa hovyo sana

zero distance.jpg
 
Back
Top Bottom