Ndio maana ya bajeti siyo lazima itekelezwe 100%Hizo ni siasa kiufi bajeti inayosomwa na serikali utekelezaji wake wa bajeti haufikagi hata 80 ya utekelezaji wake unaweza kuskia wizara fulani bajeti yake Mfano bilioni 800 unakuta inaenda mwaka mzima unamalizika wamepeleka bilioni 500 tu