Bunge la Ulaya latishia kuinyima misaada Tanzania

Bunge la Ulaya latishia kuinyima misaada Tanzania

Kweli tumefika pabaya. Tunategemea mbunge katika bunge la Ulaya ndio atukomboe? McAlister ana kura moja katika Bunge lenye wabunge 720! Matatizo ya Tanzania yatatatuliwa na watanzania wenyewe.

Amandla...
 
Bunge la ulaya laijadili Tanzania leo , lasema kama uchaguzi utafanyika na baadhi ya washiriki kuzuiliwa kushiriki kwa sababu za kisisa , eu wasitoe hata kumi kati dolla milioni 8 walizo omba tanzania kwa ajili ya uchaguzi👍


#NO REFORMS NO ELECTION NDANI YA EUROPEAN UNION 💪

View attachment 3407278
hapakuwa na sababu ya kumfunga Lisu, kuteka watu, kuua watu, kutengeneza kikundi cha wasiojulikana kutisha watu wasiongee, kufunga makanisa ili watu zaidi ya milioni wasipate haki ya kuabudu kwa kosa la mtu mmoja (kama lipo). samia hakuwa na sababu ya msingi kufanya hivi,kwa sababu hata asipofanya alikuwa na uwezo kushinda uchaguzi hata bila kupiga kampeni. alishateka mioyo ya watanzania ila sasaivi wamemgeuka wote hata wale wanajifanay wanamsapoti wanamsapoti usoni ila mioyoni Mungu anajua. alitakiwa kutumia akili tu, sio kutumia nguvu.
 
Sio tu wasitoe....wa confiscate na mali za viongoz wote wa tz hko ulaya...nq wawapige ban kusafir na waondoe misaada yote inayorun hapa tz....ili hawa watawala waache usnge
 
Sio tu wasitoe....wa confiscate na mali za viongoz wote wa tz hko ulaya...nq wawapige ban kusafir na waondoe misaada yote inayorun hapa tz....ili hawa watawala waache usnge
Wakiwanyima misaada wanakomba pesa zote walizoficha huko nje na hata marekani
 
Hukusikia bajeti ya mwaka wa fedha 2025/2026? Uchaguzi tunaugharamia sisi wenyewe kwa hiyo watoe wasitoe uchaguzi upo palepale!
Uchaguzi upi? Tanzania kuna Uchaguzi? Hakuna Uchaguzi kuna maigizo ya Uchaguzi kuna magumashi ibirisi wa ccm wana matokeo mifukoni mwao , ccm bila Polisiccm mahakamaccm msajiliccm Tumeccm ni weupe sana, ccm bila wizi wa kura hawana nafasi hata ya udiwani, ccm ni janga kubwa
 
Hela ya uchaguzi serikali ilishasema inatokana na mapato ya ndani kwa mwaka huu,
Hivyo watafute gepu lingine labda,
Kikubwa ushindani wa kweli chadema ashiriki na hoja zao wakae mezani
ccm ni waongo sana walisema ujenzi wa Reli ni pesa za ndani baada ikaja kubainika wamekopa, ibirisi wa ccm ni ombaomba si wa kuwaamini hata kidogo
 
Usilazimishe mambo yasiyokuwepo, Rais wetu alishasema serikali inagharimia uchaguzi kwa asilimia 100. Uelezweje?
Reli walisema inajengwa kwa pesa za ndani lakini ikaja kubainika ni mkopo ibirisi wa ccm ni ombaomba namba one Duniani
 
Kweli tumefika pabaya. Tunategemea mbunge katika bunge la Ulaya ndio atukomboe? McAlister ana kura moja katika Bunge lenye wabunge 720! Matatizo ya Tanzania yatatatuliwa na watanzania wenyewe.

Amandla...
Utapenyea wapi kwenye kubambikiwa kesi za uongo , kutekwa , kuuawa
 
Lakini kwa sasa uchumi wetu si ni mkubwa kuliko ule wa you esi ei????? na punde You esi eiiii watamtuma Mark Lubio kuomba msaada toka Tanzania????? Wewe uko Dunia ya wapi ? Tanzania sasa sio Tanzania ile masikini...
 
Hatuzihitaji wakae nazo hatutaki misaada ya masharti waambie hivyo!
Tatizo mamaenu alipopata madaraka alizunguka duniani kote akadanganya eti ameifungua nchi kwa R4 sasa wanataka waone hizo R4 alizohubiri na nyinyi mazwazwa mlishangilia saana
 
Serikali ilishasema uchaguzi huu hautagharamiwa na yoyote nje ya serikali

Hiyo pesa wanafahammu kwamba Tanzania haiitaki

Watumie Kwa kwzi nyingine

WAmesema hivyo baada ya kujua hakuna nchi ambayo itakuwa tayari kutoa pesa yake kugharamia ushetani wao.

Haya mashetani yanachezea pesa yetu kupeleka kwenye ushenzi walioupanga.
 
Back
Top Bottom