Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 9,818
- 14,585
Endeleeni tu kuendekeza wazungu wa Bunge la Ulaya. Mtapakwa mafuta kama LussuNa bado tunaenda kuwa kama Zimbabwe sababu ya mtu mmoja anayeutaka Urais kinguvu
Endeleeni tu kuendekeza wazungu wa Bunge la Ulaya. Mtapakwa mafuta kama LussuNa bado tunaenda kuwa kama Zimbabwe sababu ya mtu mmoja anayeutaka Urais kinguvu
Wakati huo huo linaishi kwa kulamba makalio ya watawala!..una nini zaidi ya matako, uliziomba za nini km unao uwezo.
Kwa akili yako mbovu Wazungu waje wapige mabomu Tanzania kama ya Libya kwa ajili ya kumtetea Lissu?Hawana uwezo wa kufanya nini? Walimdeal Ghadafi na wakammudu ndo iwe Mama Buduli (in Sukima pronunciation)?
Nani walizuiwa kushiriki uchaguzi kinyume na sheria?Natamani Rais Samia na mgombea wa ccm asusiwe na kutengwa na kila mtu ili abakie peke yake na familia yake
Billion 18 ni pesa kidogo sana? Basi tupo vizuri! 18,000,000,000. Huogopi hizo sifuri?Dola milioni nani ni bilioni 18,pesa ndogo sana
Shoga huyo waziri Michael Gahler, tunaendelea kuongeza wigo wa upatikanaji wa kodi za ndani ili tuweze kujitegemea kwa asilimia 100.Bunge la ulaya laijadili Tanzania leo , lasema kama uchaguzi utafanyika na baadhi ya washiriki kuzuiliwa kushiriki kwa sababu za kisisa , eu wasitoe hata kumi kati dolla milioni 8 walizo omba tanzania kwa ajili ya uchaguzi👍
#NO REFORMS NO ELECTION NDANI YA EUROPEAN UNION 💪
View attachment 3407278
TRA hukusanya ngapi kwa mwezi?..hizo hata elimu bure kwa mwezi hazitoshiBillion 18 ni pesa kidogo sana? Basi tupo vizuri! 18,000,000,000. Huogopi hizo sifuri?
Unajua maana ya bajet?Serikali ilishasema uchaguzi huu hautagharamiwa na yoyote nje ya serikali
Hiyo pesa wanafahammu kwamba Tanzania haiitaki
Watumie Kwa kwzi nyingine
itakuwaje sasaBunge la ulaya laijadili Tanzania leo , lasema kama uchaguzi utafanyika na baadhi ya washiriki kuzuiliwa kushiriki kwa sababu za kisisa , eu wasitoe hata kumi kati dolla milioni 8 walizo omba tanzania kwa ajili ya uchaguzi👍
#NO REFORMS NO ELECTION NDANI YA EUROPEAN UNION 💪
View attachment 3407278
Swali lako haliiakis kile nimeandika mkuuNani walizuiwa kushiriki uchaguzi kinyume na sheria?
Wanaodai shida zote za nchi hii zimeletwa na Nyerere unawaelewa mkuu?Nchi aoikomboa Nyerere bwana, wacheni kujidhalilisha hapa
Najua sanaUnajua maana ya bajet?
Kwann waliomba? Manake walishaingiza kwenye bajeti
Usiwe unaandika kama upo kwenye taarabu mkuu
Kwani wanaandika kila kifungu kwamba hii pesa ni ya wazungu?Najua sana
Bajeti yq serikali ni public, hebu Tuletee kwenye kifungu cha uchaguzi kama
Hiyo pesa ya wazungu imewekwa kwenye fungu la uchaguzi
Kumbe hata hujuiKwani wanaandika kila kifungu kwamba hii pesa ni ya wazungu?
Mimi ni mtz mlipa kodi.Wewe ni nani??? You are nothing 😅😅
Shithole. Magonjwa yao ya kutengeneza ili waje kujifanya kusaidia huku wakipora rasilimari zetu tumeshawashitukia sasa mwendo wa wachina na warusi tu nyinyi mnaowaabudu wazungu hamieni huko.Jinga pumbavu wewe, huzitaki? Hata hizo dawa wanazowatumia kupunguza magonjwa ya mlipuko na ukimwi hilo bara mtatoweka na kuchukuliwa na wachina, waarabu na wahindi. Ukifikia hatua ya kujilisha ndiyo useme hivyo wewe masikini jeuri. Hata kutengeneza diaper huwezi uaanza kutukana mkono unaokulisha