kazee kamepotoshwa na kanawapiga biti mabaolozi wa EU huenda ni kwasababu hakafahamu ustaraabu na sheria za kimataifa. Tanzania sheria zetu ni active na anaekiuka anawajibishwa kikamilifu bila kujali mayowe ya ndani au nje ya nchiBunge la ulaya laijadili Tanzania leo , lasema kama uchaguzi utafanyika na baadhi ya washiriki kuzuiliwa kushiriki kwa sababu za kisisa , eu wasitoe hata kumi kati dolla milioni 8 walizo omba tanzania kwa ajili ya uchaguzi👍
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1R8XVSWP3U/
#NO REFORMS NO ELECTION NDANI YA EUROPEAN UNION 💪
At this point bibi kaamua ije mvua lije jua atabaki kwenye hatamu. Keshaonja utamu wa mamlaka na hayupo tayari kuyaacha.Natamani Rais Samia na mgombea wa ccm asusiwe na kutengwa na kila mtu ili abakie peke yake na familia yake
..una nini zaidi ya matako, uliziomba za nini km unao uwezo.Hatuzihitaji wakae nazo hatutaki misaada ya masharti waambie hivyo!
Bunge la ulaya laijadili Tanzania leo , lasema kama uchaguzi utafanyika na baadhi ya washiriki kuzuiliwa kushiriki kwa sababu za kisisa , eu wasitoe hata kumi kati dolla milioni 8 walizo omba tanzania kwa ajili ya uchaguzi👍
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1R8XVSWP3U/
#NO REFORMS NO ELECTION NDANI YA EUROPEAN UNION 💪
Hukusikia bajeti ya mwaka wa fedha 2025/2026? Uchaguzi tunaugharamia sisi wenyewe kwa hiyo watoe wasitoe uchaguzi upo palepale!Mbona tuliomba?
Wazee wa "sizitaki mbichi hizi"
kazee kamepotoshwa na kanawapiga biti mabaolozi wa EU huenda ni kwasababu hakafahamu ustaraabu na sheria za kimataifa. Tanzania sheria zetu ni active na anaekiuka anawajibishwa kikamilifu bila kujali mayowe ya ndani au nje ya nchi
Unaubavu?Hatuzihitaji wakae nazo hatutaki misaada ya masharti waambie hivyo!
Hela unayoHatuzihitaji wakae nazo hatutaki misaada ya masharti waambie hivyo!
Unajipotosha mwenyewe, wao hawahitaji kitu chochote zaidi ya kutetea ustaarabu.kazee kamepotoshwa na kanawapiga biti mabaolozi wa EU huenda ni kwasababu hakafahamu ustaraabu na sheria za kimataifa. Tanzania sheria zetu ni active na anaekiuka anawajibishwa kikamilifu bila kujali mayowe ya ndani au nje ya nchi
Kum wewe!! kaa pembeni tumeshafanya bajeti na uchaguzi tunaugharamia sisi wenyewe. Wafuate kwao mabwana zako kama inakuuma sana kufanya sisi uchaguzi..una nini zaidi ya matako, uliziomba za nini km unao uwezo.
Mliomba za nini. Mnatangaza ubabe huku mnapeleka bakuli. Hata uchaguzi mnaomba misaada.Hatuzihitaji wakae nazo hatutaki misaada ya masharti waambie hivyo!
Kodi yako. Hapo unapochati tunakata mwamala.Hela unayo
Kauli zakishujaa maboss zako omba omba hawana hizi hela wanazitakaHatuzihitaji wakae nazo hatutaki misaada ya masharti waambie hivyo!
Kwa Nini mlienda KUOMBA ?!!Kodi yako. Hapo unapochati tunakata mwamala.
Halafu wakaiomba?Serikali ilishasema uchaguzi huu hautagharamiwa na yoyote nje ya serikali
Hiyo pesa wanafahammu kwamba Tanzania haiitaki
Watumie Kwa kwzi nyingine
Tunarudisha pesa zetu polepole walizochukua wakati wa ukoloni. Jitambue!Mliomba za nini. Mnatangaza ubabe huku mnapeleka bakuli. Hata uchaguzi mnaomba misaada.
Mungu Wabariki WazunguBunge la ulaya laijadili Tanzania leo , lasema kama uchaguzi utafanyika na baadhi ya washiriki kuzuiliwa kushiriki kwa sababu za kisisa , eu wasitoe hata kumi kati dolla milioni 8 walizo omba tanzania kwa ajili ya uchaguzi👍
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1R8XVSWP3U/
#NO REFORMS NO ELECTION NDANI YA EUROPEAN UNION 💪
kwenye mjadala huo wamezodoana vyema wao kwa wao kwamba china na rassia wanafanya vizuri zaidi Africa ukilinganisha na wao ambao EU-AFRICA POLICY IMEFELI VIZURI SANA.Unajipotosha mwenyewe, wao hawahitaji kitu chochote zaidi ya kutetea ustaarabu.