Bunge la Ulaya limeshamaliza, maneno mmebaki nayo ninyi msiokuwa na kiasi

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,992
Reaction score
5,665
Bunge la Ulaya limeshamaliza, maneno tumebaki nayo sisi tusiokuwa na kiasi

Kwa wito uliotolewa na Bunge la Ulaya haukuwa na haja ya kusindikizwa na maneno mengi ya Watanzania kilichobaki ni utekelezaji hatuna tena muda wa kutembeza ndimi
 
Bunge la Ulaya limeshamaliza, maneno mmebaki nayo ninyi msiokuwa na kiasi

Kwa wito uliotolewa na Bunge la Ulaya haukuwa na haja ya kusindikizwa na maneno mengi ya Watanzania kilichobaki ni utekelezaji

Watanzania tukubali kuwa tuna ulevi wa kuongea na ulevi huu ndio wakati mwingine unasababisha migogoro na Serikali
Hilo Bunge la Ulaya limesemaje?
 
Kwisha, watu wasiozidi 200 ati wanataka haribu taifa, washindwe na kulegea
 
Screenshot_20250504-225038_Instagram.jpg
 
Bado kazi haijaisha mzee, kesho watapiga kura kuanza utekelezaji wa vikwazo na mashtaka mbali mbali.

Tulizeni mtori nyama ziko chini.
Tupo pamoja mpaka tamati baada ya hapo utekelezaji uanze watu waishi maisha mengine
 
Bunge la ulaya sio la JMT...
Unajitoa ufahamu ati ,subili uone kwamba Dunia ipo na wenyewe,

Marais wa Afrika kipindi kile walipo enda msibani walikusanywa wote kwenye coster / basi moja je wajua hilo, Mbona Bideni hakua humo?

Jibu
Ni kwamba nchi zetu bado maskini sana , so hata viongozi wa Afrika bado maskini wa kiroho
 
Je wanaohonga rasilimali za taifa, hao ndio wanalijenga taifa Kwa mtizamo wako?
Thanks , tangu uhuru nani aligawa Badandari ,kama yupo basi nihukum mkuu, ni mjinga tu anaweza shabikia hili la kugawa raslimali muhimu za Taifa kwa kiasi ichi , sio afya kwa nchi na watu wake. Hii ni fedhea kumbwa but mwisho wake hu karibu
 
Je wanaohonga rasilimali za taifa, hao ndio wanalijenga taifa Kwa mtizamo wako?
Note rasilimali za taifa hili za wananchi , so kama ndivyo wanabidi husishwa mchakato mzima from A- Z , so kifanyikacho wenda ni kwa nia njema , ila kama hakina baraka za wananchi ni batili mkuu
 
Hoja ya azimio la Bunge la Ulaya kuhusu kukamatwa na hatari ya kunyongwa kwa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema, chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania.
(2025/2690(RSP))
Bunge la Ulaya,
  • kwa kuzingatia Kanuni ya 150(5) ya Kanuni zake za Uendeshaji,
  • kwa kuzingatia Ibara ya 21 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • kwa kuzingatia Kifungu cha 13 cha Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu
A. ambapo tarehe 9 Aprili 2025, Tundu Lissu, kiongozi wa Chama kikuu cha upinzani cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) alikamatwa; ambapo tarehe 10 Aprili 2025, polisi walimshtaki kwa kosa la uhaini;
B. ambapo tarehe 12 Aprili 2025, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) iliizuia Chadema kushiriki uchaguzi wa Oktoba 2025;
C. ambapo kwa mujibu wa ripoti tofauti, wakosoaji wanne wa serikali walitoweka kwa nguvu na mmoja aliuawa kinyume cha sheria mwaka wa 2024;
D. ambapo katika utafiti wa 2022, uliochapishwa na Afrobarometer mnamo Oktoba 2023, Watanzania wengi wanaripoti kuwa wana uhuru wa kusema wanachofikiri na kujiunga na mashirika ya kisiasa wanayochagua; ambapo asilimia 76 ya Watanzania walionyesha kuunga mkono haki ya serikali ya kuweka mipaka ya habari au maoni yanayomkosoa au kumtusi rais na 71% waliidhinisha vikwazo vya kushiriki habari ambazo serikali inazikataa;
E. ambapo Tanzania 2025 idadi ya watu inakadiriwa kuwa watu 70,545,865 katikati ya mwaka na inatarajiwa kukua hadi takribani watu milioni 130 ifikapo mwaka 2050; ambapo mwaka 2025, Watanzania milioni 25.2 wanaishi kwa kima cha juu cha dola za Marekani 1.90 kwa siku;
F. ambapo Umoja wa Ulaya unaunga mkono maendeleo ya Tanzania kupitia Programu ya Global Europe Multi-annual Idicative Programme 2021-2027 yenye EUR 726 milioni; ambapo Nchi Wanachama wa EU msaada wa nchi mbili kwa Tanzania ulikuwa takriban EUR 1.2 bilioni kwa 2021-2024;
1. Ana wasiwasi wa kukamatwa kwa Tundu Lissu sambamba na kuenguliwa kwa chama cha Chadema kwenye uchaguzi wa 2025;
2. Anatoa wito kwa mamlaka za Tanzania kuhakikisha kwamba waliohusika na upotevu na mauaji kwa sababu za kisiasa wanafikishwa mahakamani;
3. Inaheshimu kikamilifu matakwa ya pamoja ya watu wa Tanzania na mchakato wa ndani wa uchaguzi wa Tanzania, ambao lazima uakisi matakwa ya watu wake;
4. Huhimiza vyama vyote vya siasa kushiriki katika chaguzi zijazo; kuhimiza chama tawala cha Chama Cha Mapinduzi kufanya mazungumzo na vyama vyote vya upinzani kuhusu madai yao; ina maoni kuwa kuachiwa kwa Tundu Lissu kungeweza kutoa chachu kwenye mazungumzo haya;
5. Anatoa wito kwa Umoja wa Afrika kushirikiana na serikali ya Tanzania kutafuta suluhu;
6. Inabainisha kuwa misaada ya maendeleo ya Umoja wa Ulaya imekuwa na athari ndogo tu kama ilivyodhihirishwa na mzozo wa kiafya unaozidi kuongezeka nchini Tanzania, unaochochewa na mtafaruku unaoendelea wa wataalamu wa afya;
7. Ana wasiwasi kwamba viwango vya juu vya umaskini vinavyoendelea, pamoja na ongezeko kubwa la watu, vitasababisha uhamaji mkubwa;
8. Inamuagiza Rais wake kupeleka azimio hili kwa Baraza, Tume, Makamu wa Rais wa Tume/Mwakilishi Mkuu wa Muungano wa Mambo ya Nje na Sera ya Usalama, Huduma ya Nje ya Umoja wa Ulaya, serikali na mabunge ya Nchi Wanachama, na Rais, Serikali na Bunge la Tanzania.

POV: NAONA WAZUNGU NI WATU WENYE AKILI, NAONA WAMEAMUA KUJADILI HATIMA YETU WENYEWE KWANI SISI HATUWEZI.
 
Ewaa mambo ndo hayo
 
Bunge la Ulaya limeshamaliza, maneno tumebaki nayo sisi tusiokuwa na kiasi

Kwa wito uliotolewa na Bunge la Ulaya haukuwa na haja ya kusindikizwa na maneno mengi ya Watanzania kilichobaki ni utekelezaji

Watanzania tukubali kuwa tuna ulevi wa kuongea kilichobaki ni utekelezaji kabla Ulaya hawajatushikia fimbo
Umeonyesha ulivyokuwa bingwa wa kuongea kiasi cha kuwageuza watanzania wote kana kwamba unawajua wote. Tazama hata ulichosema hakijulikani wala kuingia akilini zaidi ya kelele.
 
Kwisha, watu wasiozidi 200 ati wanataka haribu taifa, washindwe na kulegea
Kaka wapo kikundi cha watu kama 100,80 ndio vipoba wenyewe ni matajiri hatariii..hao 20 ndio wa mtandao kuja kumsifia mama kwa medias hawajielewi hta kdg.
Ss upigaji wa hao 80 ni balaa..Huyo Abduli amekua land mogul ni mnyangaji na hkna dili linapita serikalini bila mkono wake..unadhan ataacha kuua?
 
Umeonyesha ulivyokuwa bingwa wa kuongea kiasi cha kuwageuza watanzania wote kana kwamba unawajua wote. Tazama hata ulichosema hakijulikani wala kuingia akilini zaidi ya kelele.
Utekelezaji uanze kabla hawajatushikia fimbo, nilitegemea jana vikao vya dharura vitangazwe hapa nchini mpaka sasa tunatembeza ndimi tupu
 
Mkitembeza ndimi msituhusishe nasi tunawaangalia na kuwashangaa kwa utegemezi huu ambao unahitaji just commonsense
 
Kwakweli muda tulionao kwasasa ni mchache sana tusisubiri tushikiwe fimbo, adhabu za Ulaya ni mbaya sana kwasababu zinalenga Afya na Uchumi, nchi ikishaathiriwa katika sekta hizi inakuwa nchi mfu
 
Back
Top Bottom