Bunge la Ulaya limeshamaliza, maneno mmebaki nayo ninyi msiokuwa na kiasi

Ban ya Zimbabwe inakuja Tanzania kwa tamaa za CCM na nchi itachooka saana
 
Kagame wapinzani wake wote wapo jela,museveni mpinzani wake yuko jela na juzi mwanae ambae ndio cdf wa uganda kathibitisha amemteka mlinzi wa bob wine,haya yote bunge la ulaya hawajayaona wamemuona lisu,kuna kitu kinataka kunifanya nianze kuamini lisu anatumika na watu flan kutaka kuivuruga hii nchi
 
Kaka wapo kikundi cha watu kama 100,80 ndio vipoba wenyewe ni matajiri hatariii..hao 20 ndio wa mtandao kuja kumsifia mama kwa medias hawajielewi hta kdg.
Ss upigaji wa hao 80 ni balaa..Huyo Abduli amekua land mogul ni mnyangaji na hkna dili linapita serikalini bila mkono wake..unadhan ataacha kuua?
Hatari sana mkuu
 
Kagame wapinzani wake wote wapo jela,museveni mpinzani wake yuko jela na juzi mwanae ambae ndio cdf wa uganda kathibitisha amemteka mlinzi wa bob wine,haya yote bunge la ulaya hawajayaona wamemuona lisu,kuna kitu kinataka kunifanya nianze kuamini lisu anatumika na watu flan kutaka kuivuruga hii nchi
Uganda inadharaulika sana nje za nchi kwasababu ya sera zake, nchi ya Tanzania ina historia ya kuwa na Mwl Nyerere aliyekuwa zao lao ndiyo sababu ya kutupiwa macho
Mwl Nyerere aliifanya Tanzania kuwa maarufu sana duniani ndiyo sababu ya kuzidi kukumbukwa kila mara
 
Ban ya Zimbabwe inakuja Tanzania kwa tamaa za CCM na nchi itachooka saana
We utanufaika na nini kwenye hiyo ban? Unahisi athar zitakazopatikan wewe hazikuhusu? Au nyinyi ndio mamluki muliokimbia nchi kisha munataka matatizo yaikumbe nchi yetu? Huna ndugu huku TZ? Unahis wao athari hazito wapata? Unatumia akili kufikiria au hisia?
 
Bado kazi haijaisha mzee, kesho watapiga kura kuanza utekelezaji wa vikwazo na mashtaka mbali mbali.

Tulizeni mtori nyama ziko chini.
We utanufaika na nini kwenye hivyo vikwazo? Unahisi athar zitakazopatikan wewe hazikuhusu? Au nyinyi ndio mamluki muliokimbia nchi kisha munataka matatizo yaikumbe nchi yetu? Huna ndugu huku TZ? Unahis wao athari hazito wapata? Unatumia akili kufikiria au hisia?
 
We utanufaika na nini kwenye hiyo ban? Unahisi athar zitakazopatikan wewe hazikuhusu? Au nyinyi ndio mamluki muliokimbia nchi kisha munataka matatizo yaikumbe nchi yetu? Huna ndugu huku TZ? Unahis wao athari hazito wapata? Unatumia akili kufikiria au hisia?
Chawa kaa kwa kutulia sindano ya ta** ikuuingie..wanyonyaji wakubwa nyie
 
Uganda inadharaulika sana nje za nchi kwasababu ya sera zake, nchi ya Tanzania ina historia ya kuwa na Mwl Nyerere aliyekuwa zao lao ndiyo sababu ya kutupiwa macho
Mwl Nyerere aliifanya Tanzania kuwa maarufu sana duniani ndiyo sababu ya kuzidi kukumbukwa kila mara
Hamna kitu kama iko,kuna kitu nyuma ya hili jambo,wazungu hawajawahi kutupenda zaidi ya kutaka kututumia tu,kuna mambo mabaya mengi afrika zaidi ya hili la lisu but why walikomalie hili,hawa wazungu wasiomtaka traore anayefanya vizuri nchini kwake wamtake lisu aje kuwa rais ili aifanyie mazuri Tanzania,mmmmh!
 
Chawa kaa kwa kutulia sindano ya ta** ikuuingie..wanyonyaji wakubwa nyie
Ndio shida yenu, nimeuliza maswali kibao hujajibu hata moja, huwezi kuwa na akili timamu ukashabikia upuuzi kama huo, CHADOMO ukitoa matusi hawana hoja nyingine yeyote wanatafuta kiki ya kwenda nayo, asubh njema.
 
Kagame wapinzani wake wote wapo jela,museveni mpinzani wake yuko jela na juzi mwanae ambae ndio cdf wa uganda kathibitisha amemteka mlinzi wa bob wine,haya yote bunge la ulaya hawajayaona wamemuona lisu,kuna kitu kinataka kunifanya nianze kuamini lisu anatumika na watu flan kutaka kuivuruga hii nchi
Sikia mkuu, hao wote huwatajao ipo siku watakutana na vichwa vyenye mtandao wa kitaifa na kimataifa.

Viongozi wa Afrika ukiwa na mtanda wa kitaifa bila wa kimataifa watakuchezea watakavyo, hapa hatuzungumzii ule mtandao wa kimataifa wa juju wa biashara n.k , bali mtandao ulio deep kwenye mifumo ya kidunia.

Unaweza kuona ni kwa namna gani hata apa kwetu viongozi wa vyama vya upinzani namna walikua wakichezeshwa segere.

Anza na Mrema, Cheyo, Lipumba, Mbatia ,zito, na sasa Wenda Mbowe anaenda kujaa kwenye 18 zao, akikubali mwamba heshima yake itakua imekufa palepale
 
Hamna kitu kama iko,kuna kitu nyuma ya hili jambo,wazungu hawajawahi kutupenda zaidi ya kutaka kututumia tu,kuna mambo mabaya mengi afrika zaidi ya hili la lisu but why walikomalie hili,hawa wazungu wasiomtaka traore anayefanya vizuri nchini kwake wamtake lisu aje kuwa rais ili aifanyie mazuri Tanzania,mmmmh!
Tatizo ni kuwa Mwl Nyerere ana historia kubwa sana na bara la Ulaya ni ngumu sana Tanzania kusahaulika Ulaya
 
We utanufaika na nini kwenye hiyo ban? Unahisi athar zitakazopatikan wewe hazikuhusu? Au nyinyi ndio mamluki muliokimbia nchi kisha munataka matatizo yaikumbe nchi yetu? Huna ndugu huku TZ? Unahis wao athari hazito wapata? Unatumia akili kufikiria au hisia?
Wanaowatakia watz matatizo ni ccm, msitwishe watu lawama
 
Kwa ku summarize wamesema tuachane na haya mambo ya kukandamiza upinzani na Lissu aachiliwe, Demokrasia iimarishwe na haki iheshimike kwa kila Mtanzania
Wanasema Lissu aachiliwe tena haraka sana na Mbowe na wafuasi wake wa G55 wasiruhusiwe tena kurudi Chadema
 
We utanufaika na nini kwenye hivyo vikwazo? Unahisi athar zitakazopatikan wewe hazikuhusu? Au nyinyi ndio mamluki muliokimbia nchi kisha munataka matatizo yaikumbe nchi yetu? Huna ndugu huku TZ? Unahis wao athari hazito wapata? Unatumia akili kufikiria au hisia?
Nitanufaika sana tu. Mfano, tukiwanyima mikopo mafisadi nyie maana yake hamna mnachoweza kupiga hivyo nchi haiingii kwenye madeni yakuja kuwanyonya walalahoi.

Tukiwapiga vikwazo maana yake tutapata katiba mpya yenye kuleta haki, usawa kwa wananchi, kupunguza mamlaka ya rais.

Kiujumla soma kitu inaitwa CHECKS AND BALANCES Lisa Rina
 
Ilikuwaje tena Mbowe akawageuka wenzake?
Inamuuma kutemwa uongozi kwa sababu alikuwa kuwadi wa CCM akidanganya Watanzania miaka yote hii kuwa yeye ni mpinzani na ndiyo maana alikuwa hataki kuondoka madarakani. Jamaa ni mpuuzi sana, we fikiria hela za ruzuku zote alizokuwa anapata eti chama hakina hela, zimeenda wapi hizo hela?
 
Kama ndiyo hivyo ale msumari wa moto mbafu zake
 
Back
Top Bottom