Bunge la Ulaya lituletee azimio la kulaani vifo wakati wa ukoloni Tanzania

Bunge la Ulaya lituletee azimio la kulaani vifo wakati wa ukoloni Tanzania

Tanzania inahitaji fidia kutoka kwa mabeberu yaliyochota mali na kuchukua watu utumwani.

hii ni sambamba na kutoa idadi kamili ya maafa yaani waliouawa kwa mijeledi na kunyongwa nyakati za ukoloni
Jingalao wewe ni bonge la jinga
 
Hili tukio namba 1 , Mdude Nyagali amevamiwa kwake na wahuni wa policcm katekwa na kupigwa hadi kuvuja damu nyingi na wakatokomea nae hadi leo


View: https://x.com/i/status/1918120102269952490

Hili ni tukio namba mbili ambapo Polepole kavamiwa katika mtindo ule ule wa kupigwa hadi kutoka damu nyingi na kutokomea nae kusikojulikana.


View: https://x.com/i/status/1975088963955073126

Hayo ni matukio mawili moja likihusisha mwanaharakati na lingine balozi mstaafu katika nchi inayoitwa kisiwa cha amani.

Sasa funga kazi ni October 29 -31 walipouwawa watu zaidi ya 10000 ambapo ushahidi wa picha , sauti na video uko hapa.


Hivyo kwa matukio kama haya kabla hatujaanza kutafuta aliyotufanyia mkoloni miaka 100 nyuma tena teknolojia ikiwa duni basi tushughulikie haya matukio ya zama hizi ambapo teknolojia ni ya hali ya juu na ushahidi upo hata mtoto wa shule ya msingi anaweza kupambanua.

Kwako jinga lao.
 
Kama mada huielewi sio lazima kuchangia.
nenda kacheze PS5
Hakuna mada yoyote yenye maana hapa. Mauaji yalliyofanywa oct. 29-nov. 05 2025 yanahitaji majibu sahihi na uwajibikaji. Hakuna namna ukatili ule unaweza kusahauliwa/kusamehewa eti sababu mwingereza au mjerumani nae kihistoria aliwahi kutenda maovu kama hayo.
 
Tanzania inahitaji fidia kutoka kwa mabeberu yaliyochota mali na kuchukua watu utumwani.

Hii ni sambamba na kutoa idadi kamili ya maafa yaani waliouawa kwa mijeledi na kunyongwa nyakati za ukoloni
Watakuletea kesho
 
Back
Top Bottom