masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
- Thread starter
- #41
TAZAMA Pipe line Imepita nchini Tanzania , Dar , Morogoro(Mikumi),Iringa(Lugalo), Mbeya (Inyala) hadi kufikia huko Zambia...Tazama pipeline imepita wapi?
..Na bomba la Hoima-Tanga litapita wapi?
..hoja ya mazingira iwekwe mezani na serikali ieleze kinagaubaga tutakabiliana vipi na changamoto hizo.
..sidhani kama ni sahihi kupuuza hoja hizo kwa madai kuwa ni ukoloni mamboleo.
..Pia uelewa wetu kuhusu mazingira umeongezeka toka 1968 wakati Tazama inajengwa.
Hatujasikia wala kuona uharibifu wa mazingira au uharibifu wa haki za binadamu bomba lilimopitia.