Richard spencer
JF-Expert Member
- Feb 22, 2021
- 1,225
- 1,993
Nimeshangaa kutoona upinzani wowote kutoka serikali ya Ukraine hasa baada ya kupewa misaada ya silaha na mafunzo kutoka NATO tangu 2014.
Ningekuwa raia wa Ujerumani ningeihoji serikali, kwanini mradi wa nordstream 2 usimame kisa mgogoro kati ya Russia na Ukraine? Ujerumani imeonesha udhaifu mkubwa sana kwenye hili.