Skylar
JF-Expert Member
- Nov 10, 2021
- 2,334
- 5,550
Hii ndio point, hakuna mtu anaemwogopa Russia ila watu wanaangalia maslahi mapana ya dunia na athari za vita, watu wanapambana na Covid bado hawajapata suluhisho la kudumu yeye russia analeta ubabe ambao utaathiri hata nchi yake na watu wakeDunia inajaribu kwa kila hali pasitokee vita. Hakunaga mshindi kwenye kuuana.
Cha msingi ni peaceful ways za kuresolve huu mgogoro ili dunia iwe sehemu salama, hakuna haja ya kushabikia vita maana athari yake itatugusa hata sisi nchi maskini tena kwa kiasi kikubwa