Bunge la Urusi lamruhusu Rais kupeleka majeshi mahala popote Duniani

Nimeshangaa kutoona upinzani wowote kutoka serikali ya Ukraine hasa baada ya kupewa misaada ya silaha na mafunzo kutoka NATO tangu 2014.

Ningekuwa raia wa Ujerumani ningeihoji serikali, kwanini mradi wa nordstream 2 usimame kisa mgogoro kati ya Russia na Ukraine? Ujerumani imeonesha udhaifu mkubwa sana kwenye hili.
 
Bunge la Urusi limempa Rais wa n hi hiyo nguvu ya kupeleka majeshi yake mahala popote Duniani pale itakapo hitajika.
Bunge hilo limefikia uamuazi wake Leo 22.02.22 siku moja mara baada ya Urusi kuyatambua majimbo yaliyokua yanapigania kujitenga na Ukraine.[emoji3064][emoji15][emoji15]
 
Kwa hiyo yaweza kutokea kwa putin mkuu?
 
Ataachia tu subiri kama baada ya miezi mitano
 
Russia kuna bunge au kikundi cha wahuni tu ,kwa kipind hiki sawa Russia ana nguvu lakin atakuwa na nguvu kwa muda gan hawez maintain hizo nguvu itafika kipind hayo majimbo yatarud Ukraine it just a time
 
Ataachia tu subiri kama baada ya miezi mitano
Muda utaongea ila kwa sasa wamejionesha ni dhaifu kuliko hata nilivyokuwa nawafikiria, cha kushangaza zaidi ni Biden ndie aliewapa amri ya kusimamisha huu mradi ikiwa Russia itaingia Ukrain lakini chancellor wao anaogopa kusema hili badala yake anatumia sheria za kimataifa kama sababu.
 
Indeeeeeed litaisha kidiplomasia tu.
Hiyo diplomasia wataifanya na nani, Putin yeye diplomasia ni kutekeleza malengo yake.
Na anajiamini, sasaivi ameshaanza kuhisi kama Nato na Us wanamuogopa.
Sababu amejitoa muhanga, hajali maisha yake wala ya watu wengine na ndio maana yupo tayari hata kwa vita ya nyuklia.

Amesema Ukraine na washirika wake wakianza kufyatua nyuklia zao kuelekea urusi, wao russia wata enda peponi na wengine yani nato na us wataenda jehanam.
 
Russia kuna bunge au kikundi cha wahuni tu ,kwa kipind hiki sawa Russia ana nguvu lakin atakuwa na nguvu kwa muda gan hawez maintain hizo nguvu itafika kipind hayo majimbo yatarud Ukraine it just a time
Crimea ina miaka mingapi sasa
 
Crimea ina miaka mingapi sasa
Hiv unaijua Russia ya Stalin wew Hitler mwenyewe alikuwa anawaogopa achana na Russia ya sasa Russia ya USSR ilikuwa untouchable hii iliangusha mpaka dola la ottoman
 
Hiv unaijua Russia ya Stalin wew Hitler mwenyewe alikuwa anawaogopa achana na Russia ya sasa Russia ya USSR ilikuwa untouchable hii iliangusha mpaka dola la ottoman
acha watu wasimamie maslahi yao...................kwani alikwambia anataka kujifananisha na huyo? yeye anaenda kama yeye
 
acha watu wasimamie maslahi yao...................kwani alikwambia anataka kujifananisha na huyo? yeye anaenda kama yeye
kwa sasa ndio ameweza kuwa na nguvu hiyo ila ataitumia kwa muda gan huwa hanaga consistence akija kiongoz mwingine anakuja na sera nyingine kabisa
 
Katika hizo nchi Ujerumani hayuko tiyari kwa vita, yaani ukiuliza Raia wa Ujeruman kitu wasicho taka ni vita, walisha choka na ile WW1 na 2
 
Russia haina ubavu wa kupigana na NATO japo hata NATO hawatamani kuingia kijeshi kwny hilo
Haya ameshaingia Ukraine sasa hao nato si wamfwate ka wanajua watampiga???
Mbona middle east huko huwa wanaenda bila hata kufikiri mara mbili...
Wanajua nini kitawapata.
Kwa kifupi hao nato na usa wakimchokoza tu putin kijeshi bas mjue ww3 na muanze kutafuta kwa kujificha
 
Bunge la Urusi halina mamka nje ya urusi, mamlaka yake ayanaishia urusi, kama wamemruhusu raisi wao na jeshi lao kushambulia nchi yoyote pasipo kuangalia kwamba waananchi wa urusi na uchumi wao kwa ujumla utaathirika vipi basi hilo bunge halina akili au pengine wamemchoka putin wanataka kumuondoa kwa namna nyingine bila yeye kujua

Hakuna nchi atakaekubali kushambuliwa na urusi akae kimya, maana yake wameiruhusu urusi kuingia vitani na nchi yoyote duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…