Bunge la Urusi lamruhusu Rais kupeleka majeshi mahala popote Duniani

Dunia inajaribu kwa kila hali pasitokee vita. Hakunaga mshindi kwenye kuuana.
Hii ndio point, hakuna mtu anaemwogopa Russia ila watu wanaangalia maslahi mapana ya dunia na athari za vita, watu wanapambana na Covid bado hawajapata suluhisho la kudumu yeye russia analeta ubabe ambao utaathiri hata nchi yake na watu wake

Cha msingi ni peaceful ways za kuresolve huu mgogoro ili dunia iwe sehemu salama, hakuna haja ya kushabikia vita maana athari yake itatugusa hata sisi nchi maskini tena kwa kiasi kikubwa
 
Kabisa
 
Haoa naona Kila Upande Una Wasi wasi na mwenzie
NATO Wanaonyesha Kujua URUSI Sio watoto Saizi wangesha timba mampema
 
Kwa iyo maslahi mapana awakuyaona kwa Libya, IRaq na afghanistan, wameyaona tu kwa WARUSI?
 

Hilo bunge ni rubber stamp tu ya Putin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…