Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,120
Kuna tetesi zimeanza kuzagaa kutoka viunga vya bunge jijini Dodoma kuhusu baadhi ya wabunge wakinong'ona kuwa, vifungu vitafutwe kwa lazima ili kulazimisha Gwajima kuitwa kwenye kamati ya bunge (kinga na haki) kama njia ya haraka haraka kumtisha au kumpiga break Gwajima na hapo hapo kumtia moyo mama katika hii vita.
Note:
Gwajima aliongea mambo yake nje ya bunge, na katika maelezo yake yote alikwepa kulihusisha chochote bunge.
Note:
Gwajima aliongea mambo yake nje ya bunge, na katika maelezo yake yote alikwepa kulihusisha chochote bunge.