Tetesi: Bunge lajipanga kumuita Gwajima kwenye kamati kujieleza!

Alisisitiza maoni anayatoa kama mtanzania na wala siyo kama askofu, mbunge au mjumbe wa nec..
Swali la kujiuliza hapo (kama tetesi zako ni kweli) bunge litamuhoji kama mbunge au mtanzania? Na kwa kifungu kipi au kosa lipi?
Gwajima ni akili kubwa!
 
Kuna tetesi zimeanza kuzagaa kutoka viunga vya bunge jijini Dodoma kuhusu baadhi ya wabunge wakinong'ona kuwa, vifungu vitafutwe kwa lazima ili kulazimisha Gwajima kuitwa kwenye kamati ya bunge (kinga na haki) kama njia ya haraka haraka kumtisha au kumpiga break Gwajima na hapo hapo kumtia moyo mama katika hii vita.

Note:
Gwajima aliongea mambo yake nje ya bunge, na katika maelezo yake yote alikwepa kulihusisha chochote bunge.
watajichafua hadi hawataamini. na watakuwa wamempa pont sana maana hakuna mtz asiyechoshwana utekaji kwa sasa. wasifikiri wananchi ni wajinga kiasi hicho.
 
Milio imeanza kusikika, wanaotumia matako kufikiri wamechachamaa
Tena matako yanayonuka mavii. Majinga ambayo yapo kwa ajili ya kutetea DHAMBI. Yaani mambo yanamchukiza MUNGU. Wao wako tayari kuyatetea ili yaendelee kumchukiza MUNGU. Nchi hii pole Tanzania yetu. MUNGU ATUREHEMU TU KWA REHEMA ZAKE. Hii ni AIBU KUBWA
 
watajichafua hadi hawataamini. na watakuwa wamempa pont sana maana hakuna mtz asiyechoshwana utekaji kwa sasa. wasifikiri wananchi ni wajinga kiasi hicho.
Kabisa mkuu. Yaani kutetea mambo yanayomchukiza MUNGU ili yaendelee ndiyo MACHUKIZO MAKUBWA ZAIDI
 
Kuna tetesi zimeanza kuzagaa kutoka viunga vya bunge jijini Dodoma kuhusu baadhi ya wabunge wakinong'ona kuwa, vifungu vitafutwe kwa lazima ili kulazimisha Gwajima kuitwa kwenye kamati ya bunge (kinga na haki) kama njia ya haraka haraka kumtisha au kumpiga break Gwajima na hapo hapo kumtia moyo mama katika hii vita.

Note:
Gwajima aliongea mambo yake nje ya bunge, na katika maelezo yake yote alikwepa kulihusisha chochote bunge.
Sema kimeumana
 
Back
Top Bottom