Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,120
Aitwe haraka iwezekanavyo mana amezidi kilopolopo.Kuna tetesi zimeanza kuzagaa kutoka viunga vya bunge jijini Dodoma kuhusu baadhi ya wabunge wakinong'ona kuwa, vifungu vitafutwe kwa lazima ili kulazimisha Gwajima kuitwa kwenye kamati ya bunge (kinga na haki) kama njia ya haraka haraka kumtisha au kumpiga break Gwajima na hapo hapo kumtia moyo mama katika hii vita.
Note:
Gwajima aliongea mambo yake nje ya bunge, na katika maelezo yake yote alikwepa kulihusisha chochote bunge.
Kuongea ukweli ni kulopoka? Na kulopoka ni kufanya nn?Aitwe haraka iwezekanavyo mana amezidi kilopolopo.
GWajima kabla ya Kuongea Alijivua Mamlaka yote!Kuna tetesi zimeanza kuzagaa kutoka viunga vya bunge jijini Dodoma kuhusu baadhi ya wabunge wakinong'ona kuwa, vifungu vitafutwe kwa lazima ili kulazimisha Gwajima kuitwa kwenye kamati ya bunge (kinga na haki) kama njia ya haraka haraka kumtisha au kumpiga break Gwajima na hapo hapo kumtia moyo mama katika hii vita.
Note:
Gwajima aliongea mambo yake nje ya bunge, na katika maelezo yake yote alikwepa kulihusisha chochote bunge.
Sasa kosa lake ni lipi? Hivi hawa ccmm wanawachukuliaje watanzania???GWajima kabla ya Kuongea Alijivua Mamlaka yote!
Alijivua Ubunge, AlijiVUA UNEC alijivua UaSkofu..
Alijivua kwa sababu hakutaka Kuhusishwa na Hivyo vyeo ambavyo anajua Kabisa atawajibishwa na sheria kwa hivyo vyeo vyake na aaliongea kama Raia wa akawaida
Yaani jamaa kajua kuwakosesha usingizi!!! Ukichanganya NRNE plus Gen Z wa kenya basi ni full mtafutano!!!!!!!!Gwaji boy Hana mbambamba kila kitu kwake kiko calculated na Kuna watu behind this tena top in the country. Mama Samia angalia watu wanaokuzunguka sio wazuri
Mbona kipindi cha muhasisi wa kuteka, kutesa na kuua domo lake lilikuwa closed!?Kuongea ukweli ni kulopoka? Na kulopoka ni kufanya nn?
Yupo wapi kibajaji??
June itakuwa ya moto sana huko chama cha majambaziKuna tetesi zimeanza kuzagaa kutoka viunga vya bunge jijini Dodoma kuhusu baadhi ya wabunge wakinong'ona kuwa, vifungu vitafutwe kwa lazima ili kulazimisha Gwajima kuitwa kwenye kamati ya bunge (kinga na haki) kama njia ya haraka haraka kumtisha au kumpiga break Gwajima na hapo hapo kumtia moyo mama katika hii vita.
Note:
Gwajima aliongea mambo yake nje ya bunge, na katika maelezo yake yote alikwepa kulihusisha chochote bunge.
UongoKuna tetesi zimeanza kuzagaa kutoka viunga vya bunge jijini Dodoma kuhusu baadhi ya wabunge wakinong'ona kuwa, vifungu vitafutwe kwa lazima ili kulazimisha Gwajima kuitwa kwenye kamati ya bunge (kinga na haki) kama njia ya haraka haraka kumtisha au kumpiga break Gwajima na hapo hapo kumtia moyo mama katika hii vita.
Note:
Gwajima aliongea mambo yake nje ya bunge, na katika maelezo yake yote alikwepa kulihusisha chochote bunge.
Kaka ila sisiemi hawashindwi tengeneza drama🤔GWajima kabla ya Kuongea Alijivua Mamlaka yote!
Alijivua Ubunge, AlijiVUA UNEC alijivua UaSkofu..
Alijivua kwa sababu hakutaka Kuhusishwa na Hivyo vyeo ambavyo anajua Kabisa atawajibishwa na sheria kwa hivyo vyeo vyake na aaliongea kama Raia wa akawaida
Hii ni makosa. Kwani kuna kipindi cha kuzungumza! Tujadili hoja yake je ina mashiko??,Mbona kipindi cha muhasisi wa kuteka, kutesa na kuua domo lake lilikuwa closed!?