Tetesi: Bunge lajipanga kumuita Gwajima kwenye kamati kujieleza!

Kosa lakimfumo hilo watafanya ndio wataenda ku validate haya mambo kama kumuweka TAL ndani nani anashauri haya mambo?
 
Mbona kipindi cha muhasisi wa kuteka, kutesa na kuua domo lake lilikuwa closed!?
Ulikuwepo au unakumbuka alivyokuwa anamtwanga bashite kipindi kile au unajisahaulisha? Mpaka alitoa ushauri wa namna ya kupambana na watekaji umesahau?
 
Nadhani Gwajima hakukurupuka na huenda ana backing ya watu fulani.
Mbona kaongea kwa kujiamini sana? Na kasema anaweza kurudia hata mara sita. Kifupi waende naye taratibu asiende mbali zaidi.
Amekusanya majina ya waliotekwa mpaka tarehe za kutekwa.
Binafsi simpendi Gwajiboy kwa wizi wa kura na ahadi hewa lakini hata malaya akikupa tahadhari inabidi umsikilize.
 
Ulikuwepo au unakumbuka alivyokuwa anamtwanga bashite kipindi kile au unajisahaulisha? Mpaka alitoa ushauri wa namna ya kupambana na watekaji umesahau?
Bashite mbona alikuwa anatukanwa na watoto hadi wa Primary!?, alafu we ujui kama bashite na gwajima walikuwa na ugovi wa mipaka kule kijijini kwao?
 
Milio imeanza kusikika, wanaotumia matako kufikiri wamechachamaa
Wabunge wa chupi wanao jiita vitu maalumu nadhani ndio vilaza wa kwanza bungeni, hii vitu maalum ifutwe kwakweli inakwamisja maendeleo ya nchi maana ni wepwsi sana kuhongeka hawa wagawa papuchi kwa makatibu wa chama
 
Wasisahau kumwita na yule alisema sisi ni KENGE
 
Alisisitiza maoni anayatoa kama mtanzania na wala siyo kama askofu, mbunge au mjumbe wa nec..
Swali la kujiuliza hapo (kama tetesi zako ni kweli) bunge litamuhoji kama mbunge au mtanzania? Na kwa kifungu kipi au kosa lipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…