GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,645
- 10,867
Gwajima ni akili kubwa!Alisisitiza maoni anayatoa kama mtanzania na wala siyo kama askofu, mbunge au mjumbe wa nec..
Swali la kujiuliza hapo (kama tetesi zako ni kweli) bunge litamuhoji kama mbunge au mtanzania? Na kwa kifungu kipi au kosa lipi?
watajichafua hadi hawataamini. na watakuwa wamempa pont sana maana hakuna mtz asiyechoshwana utekaji kwa sasa. wasifikiri wananchi ni wajinga kiasi hicho.Kuna tetesi zimeanza kuzagaa kutoka viunga vya bunge jijini Dodoma kuhusu baadhi ya wabunge wakinong'ona kuwa, vifungu vitafutwe kwa lazima ili kulazimisha Gwajima kuitwa kwenye kamati ya bunge (kinga na haki) kama njia ya haraka haraka kumtisha au kumpiga break Gwajima na hapo hapo kumtia moyo mama katika hii vita.
Note:
Gwajima aliongea mambo yake nje ya bunge, na katika maelezo yake yote alikwepa kulihusisha chochote bunge.
Tena matako yanayonuka mavii. Majinga ambayo yapo kwa ajili ya kutetea DHAMBI. Yaani mambo yanamchukiza MUNGU. Wao wako tayari kuyatetea ili yaendelee kumchukiza MUNGU. Nchi hii pole Tanzania yetu. MUNGU ATUREHEMU TU KWA REHEMA ZAKE. Hii ni AIBU KUBWAMilio imeanza kusikika, wanaotumia matako kufikiri wamechachamaa
Kabisa mkuu. Yaani kutetea mambo yanayomchukiza MUNGU ili yaendelee ndiyo MACHUKIZO MAKUBWA ZAIDIwatajichafua hadi hawataamini. na watakuwa wamempa pont sana maana hakuna mtz asiyechoshwana utekaji kwa sasa. wasifikiri wananchi ni wajinga kiasi hicho.
sasa chauma ni ccm (B) hawawezi kumpokea gwajiboy, na chadema ndio hivyo tena.Gwajima, Mbowe, Mpina (Chaumma) niko paleeee
Sasa kosa lake ni lipi? Hivi hawa ccmm wanawachukuliaje watanzania???
Sema kimeumanaKuna tetesi zimeanza kuzagaa kutoka viunga vya bunge jijini Dodoma kuhusu baadhi ya wabunge wakinong'ona kuwa, vifungu vitafutwe kwa lazima ili kulazimisha Gwajima kuitwa kwenye kamati ya bunge (kinga na haki) kama njia ya haraka haraka kumtisha au kumpiga break Gwajima na hapo hapo kumtia moyo mama katika hii vita.
Note:
Gwajima aliongea mambo yake nje ya bunge, na katika maelezo yake yote alikwepa kulihusisha chochote bunge.
Kufichua siri za wizi na kuwa fisadi ndio Tafsiri mpya ua uzalendoTupewe tafasiri sahihi ya uzalendo.
Kwasababu hakuwa na taarifa za kutosha...ila majibu basi ?Mbona kipindi cha muhasisi wa kuteka, kutesa na kuua domo lake lilikuwa closed!?