Bunge laondoa kigezo cha kupitia JKT na JKU kuajiriwa vyombo vya ulinzi

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Bunge limepitisha azimio la kuondoa kigezo cha kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) pamoja na Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) kwa vijana wanaoomba nafasi za ajira katika vyombo vya ulinzi na usalama.

IMG_20240216_124134.jpg
 
Yani hiki kigezo kilikuwa kinawanyima vijana wengi frusa na ukiangalia kwa asilimia kubwa izi taasi ndo zinabeba idadi kubwa ya vijana upande wa ajira like Uhamiaji, zima moto, migration, TAKUKURU n.k

Walikuwa wanazingua sana, huna kambi za kupeleka vijana wote JKT ila kazi zikitoka unabagua wakati ni wewe ulishindwa wapeleka
 
Wabunge hapa kama mtu huna akili au hufikirii vizuri unaweza kudhani wametoa hicho kigezo ili kumpigania mtoto wako wewe Khadija wa Kiwalani.

Hapa wamepiganiwa watoto wao wanono ambao hawataki shida za JKT.
 
Bunge limepitisha azimio la kuondoa kigezo cha kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) pamoja na Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) kwa vijana wanaoomba nafasi za ajira katika vyombo vya ulinzi na usalama.

View attachment 2905725
Bungeni kuna manyumbu tu hakuna watu, wanataka waende watoto wao ambao hawaendi jkt/jku.
 
Yani hiki kigezo kilikuwa kinawanyima vijana wengi frusa na ukiangalia kwa asilimia kubwa izi taasi ndo zinabeba idadi kubwa ya vijana upande wa ajira like Uhamiaji, zima moto, migration, TAKUKURU n.k

Walikuwa wanazingua sana, huna kambi za kupeleka vijana wote JKT ila kazi zikitoka unabagua wakati ni wewe ulishindwa wapeleka

Ni kweli kabisa mkuu, hakukuwa na fursa kwa vijana wengi kwa sababu hiyo. Sasa vijana wengi wataweza kushiriki hyo fursa.
 
Back
Top Bottom