makorere
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 1,970
- 1,480
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wagonga Meza mpo mpaka nje ya bungeNi kweli kabisa mkuu, hakukuwa na fursa kwa vijana wengi kwa sababu hiyo. Sasa vijana wengi wataweza kushiriki hyo fursa.
Kupitia JKT ilikuwa vijana wanakuwa tayari kama wameshapitia Depo! So akuna tena drill za awali. Kwa sasa itakuwa kama kawa- wiki sita za Mwanzo ukiwa kambini kama una any tatizo la afya au mimba kwa dada zetu lazima uteme bungo😁nafikiri wale waliopita huko wanjua nini nnamaanisha
Wabunge hapa kama mtu huna akili au hufikirii vizuri unaweza kudhani wametoa hicho kigezo ili kumpigania mtoto wako wewe Khadija wa Kiwalani.
Hapa wamepiganiwa watoto wao wanono ambao hawataki shida za JKT.
Kwa maslahi ya watoto wao wameondoa hicho kigezo.
Wameona iwe shortcut kwa vijana wao wanaotaka kuwa maafisa wa Majeshi yetu.
Kwa ufupi mmekwisha.
Hakuna mtoto wa maskini atakayeweza kuingiza pua huko majeshini.
Kwisha.
Jkt inazalisha siyo powa madogo wanapiga jembe WANALIMA misosi ya kutosha mahindi, mpunga wa kutosha madogo WANASHIRIKI MIRADI ya ujenz ya kigharam jkt inawez jiendeshHisia zangu zipo tofauti kidogo. Pamoja na hayo mambo ya kubebana, ila nahisi wanataka kupunguza gharama za uendeshaji wa JKT.
Kwa sababu unapoondoa kigezo, automatikale umeiua JKT kwa sababu nani ataenda kulijenga taifa burebure!
Itakuwa wanataka kusevu hela iliyokuwa inatumika kuendeshea JKT, halafu mambo yakitulia watakirudisha hicho kigezo.
Wameona wakianzisha ada JKT watapigiwa kelele!
Jeshini mazoezi ayajali wewe mtoto wa nani! Na ata huko JKT ndo principal (akuna kujuana) mazoezi na shuruba zote ni za wote. Kulikuwa na nafuu ya Wakufunzi wa vyombo vyetu vya usalama kwa vijana waliotoka JKT kwani basics za Jeshi wana kuwa tayari wanazijua so inawapunguzia kazi. Kwa sasa kitakachotokea 1. Wote kuanza upya wafikapo mafunzoni au kuwe na group mbili waliopitia JKT wafundishwe kivyao na hawa fresh from home wakumbane na mziki mnenneHICHO KIGEZO WANAKIONDOA ILI KUWARAHISISHIA WATOTO WAO KUINGIA KWENYE VYOMBO BILA KUENYEKA KWENYE MASHAMBA MKAKATI YA MTABILA, NACHINGWEA NK.
KAMA UNADHANI WANAKIONDOA KWA AJILI YAKO WEWE SAIDI MSAKANYOKA UNAFELI ASEEEH HAPO WATOTO WA MASAKI NA MBEZI WANARAHISISHIWA MIFUMO