stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waulize viongozi wenyewe
Mkuu kwa TISS hicho kigezo cha Jakata kilikuwa geresha tu, wengi wanaoingia hawajapitia kuliko waliopitia, kwahiyo hilo azimio hata halijawa affect kwa chochoteWanataka wapeleke watoto wao tiss
Mkuu,sisi akina Yakhe tulishamalizwa kitambo sana,sasa hivi tunaishi tu kwa neema ya Mungu.Kwa maslahi ya watoto wao wameondoa hicho kigezo.
Wameona iwe shortcut kwa vijana wao wanaotaka kuwa maafisa wa Majeshi yetu.
Kwa ufupi mmekwisha.
Hakuna mtoto wa maskini atakayeweza kuingiza pua huko majeshini.
Kwisha.
Hatari sana.Mkuu,sisi akina Yakhe tulishamalizwa kitambo sana,sasa hivi tunaishi tu kwa neema ya Mungu.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Kama ulishindwa kupata nafasi JKT ambako hakuna ajira direct, yaani ni kama kwenda kucheza kamari. Je huko ambako ni ajira direct 100% utaweza?Hili ni zuri.....kunawatu walikuwa na ndoto za kuingia Kwa vyombo vya ulinzi .....kisa kushindwa kwenda JKT
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ni Bora wametoa mana wengine hatujawahi enda uko jeshini hata kwa mujibu wa Sheria Sasa na Kuna wengine wanapita diploma na wengine wanaenda form six, kwa hiyo ni sawa kuondoka huo upuuzi wa kwenda jkt au jkuKwa maslahi ya watoto wao wameondoa hicho kigezo.
Wameona iwe shortcut kwa vijana wao wanaotaka kuwa maafisa wa Majeshi yetu.
Kwa ufupi mmekwisha.
Hakuna mtoto wa maskini atakayeweza kuingiza pua huko majeshini.
Kwisha.
Una uelewa finyu sana kichwaniHii hoja ya kuondoa mafunzo ya JKT kama kigezo ni fikirishi kulingana na wakati. Ni majuzi tu hapa CDF anamwambia Rais kuwa kuna raia wakigeni wameingia ktk serikali na kushika nyazifa serikalini. Leo tunaona kigezo mojawapo Cha kupunguza mamluki ktk sekta nyeti za kiserikali kinaondolewa just a month.
Kwa kila mwenye akili timamu lazima afikirie kuwa inawezekana kunadhamira ovu ndani ya walewale waliolalamikiwa na jeshi. Sasa wameamua kumuonesha aliyesema hiyo kauli kuwa hawawezi. Na tukitaka kujua kuwa kuna dhamira ovu baada ya miaka fulani hiki kigezo kitarudi tena maana yake wenye dhamira ovu wataondoka au watakuwa washafanyikiwa malengo yao. Tunaomba kigezo hiki kijadiliwe kwa kina na kuwe na screening ya uraia wa kila anayeingia ktk kazi za majeshi.
Wataimba haleluyaJeshini mazoezi ayajali wewe mtoto wa nani! Na ata huko JKT ndo principal (akuna kujuana) mazoezi na shuruba zote ni za wote. Kulikuwa na nafuu ya Wakufunzi wa vyombo vyetu vya usalama kwa vijana waliotoka JKT kwani basics za Jeshi wana kuwa tayari wanazijua so inawapunguzia kazi. Kwa sasa kitakachotokea 1. Wote kuanza upya wafikapo mafunzoni au kuwe na group mbili waliopitia JKT wafundishwe kivyao na hawa fresh from home wakumbane na mziki mnenne
Acha kukurupuka, naungana kabisa na maamuzi ya bunge, kwanza JKT ni kama imepoteza ile maana yake halisi ya mwanzo. Zamani ilikuwa ni lazima kwa vijana wote wanaomaliza form 6 kwenda JKT kwa mwaka mmoja. Sasa hivi wanaenda kwa mafungu mara wengine hawaendi, sasa matokeo yake ni kwamba vijana walioko mtaani (sekondari, chuo na wengine) wanaotafuta kazi ni wengi sana wakati hao waliopitia JKT ni wachache. Hivyo kuweka hicho kigezo ni ubaguzi mkubwa sana.Kwa maslahi ya watoto wao wameondoa hicho kigezo.
Wameona iwe shortcut kwa vijana wao wanaotaka kuwa maafisa wa Majeshi yetu.
Kwa ufupi mmekwisha.
Hakuna mtoto wa maskini atakayeweza kuingiza pua huko majeshini.
Kwisha.