Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
vipi amejibu ??
 
Hiyo your take hiyo ndiyo umevuruga mambo kabisa;

Hata hivyo;

Amebipu wenzake wamempigia; sasa historia itasomeka kuwa CCM ndio imemmwaga Nyalandu kutokana na makando kando yake na sio yeye kukiacha chama.
Alietamgulia kutoa tamko ni Chama au Nyalandu? Kwetu historia imetengenezwa na Nyalandu kuikacha CCM.
 
Wamedhihirisha ukweli wa sababu za kujiuzulu Nyarandu.AIBU SANA
 
Hii ni kuonyesha jinsi gani bunge linavyotawaliwa na Serikali kuu kama madai ya nyalandu alivyosema

Cheo ni kizuri lakini jamani watu wanampinga rafiki yako risasi 30+ harafu wala hawana habari kama walipiga mbwa nibakie nao,

Mbunguni kuna moto lazima tujue
 
Si uanzishe uzi wako?? Yani nyie akili zenu zinafanana kweli. Sasa hapa unaona ni sehem inayofaa pachika hiyo barua?

Worse enough, kinachoendelea Arumeru kishafahamika kwa werevu, kama mnadhani mtaattract attention ya wenye akili timamu mnajidanganya sana.

Kama mliweza nunua diwani anayelipwa posho mara kwa mara, mtaacha kummunua msaidizi wa mbunge?? Msiudhalilishe utu wenu kwa sababu ya njaa. Kwendraaaaaa!
 
CDM saizi ni Chaka la wezi, CDM limekuwa kimbilio la mafisadi. Majizi yote sasa njia nyeupe kwenda CDM
 
Hii ndo kudhalilisha chama tukaonekana wote hatuna akili,
kwanza tangu lini ccm ikafukuza kwa faster hivyo bila hata kukaa vikao?,

sasa tumefikia hatua ya kugushi hadi barua
halafu ccm hata kama imemfukuza mwanachama mmoja lazima kuna wengine watapewa onyo/karipio kali.

CCM hawako hivyo kama wanaidara ya propaganda ijitathmini upya
 
Hivi, Lowassa, Kingunge na Sumaye walishafukuzwa uanachama ccm ama bado?
 
Hvi ndugai hana instagram handle nikamchambie huko mana naona hpa kuandika comments nyingi hatoona, Baba mtu mzima anawaza kutumia kiungo gni cha mwili?yani ni spika wa ovyo kabisa kuwai kutokea Tanzania
 
Hapo ndipo panapoumiza. Kuna kila dalili kuwa hii nchi tumewaachia wajinga watuongoze. Kwakweli tusitegemee la ziada. Mbaya zaidi kitakwimu wala hawapo wengi, ila wanatuyumbisha kweli. Wah!
 
Polepole alisema Spika wa Bunge ni mshauri wa CCM hivyo asingeweza kuikubali barua ya Nyalandu kabla ya maelekezo toka ccm.
 
Thread hii imejibu yote.Polepole amekiri kuwa Nyalandu amehama CCM,na anamshangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…