Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

CCM kwa sasa inapelekwa pelekwa kama gari lililokatika senta bolti , Hivi hapa wanataka kumdanganya nani ?

Poor chama chakavu !
 

Kumbe Nyalandu ni asset? Yaani CCM imeumia kiasi cha kufika huku? Hahahahahaha
 
Polepole na timu yake wafanye mambo ya msingi kuliko kujitekenya wenyewe na kuchekelea kuwa wao ndio wamenvua uanachama Nyalandu.
 
YAANI BADO TUNADANGANYWA TU


 
naona hii ndio awamu itakayovunja rekodi ya dunia kwa vituko,
 
Kama spika alimwambia Aache kuwasha washa.
Spika ni kada kadaa.
Inabidi yule dada aliyemjibu Jerry amkibu na Ndungai ndio saizi ya wanaume wa jikoni kama spika na bosi wake na jerry Muro
 
Msija mkakuta Nyalandu yupo kwenye mission.
 
Hongera msomi wa digirii wewe na masisiem wenzako.
 
CDM saizi ni Chaka la wezi, CDM limekuwa kimbilio la mafisadi. Majizi yote sasa njia nyeupe kwenda CDM
Haa kumbe CDM kuna immunity dhidi ya jinai, ndio maana mahakama za mafisadi hakuna kesi kumbe majizi yote yameshachukua kinga
 
Outrageous! mbona polepole hakuongea siku Ile kuwa Nyalandu alishafukuzwa.Hii ni aibu sana. Mtu mzima ukivuliwa nguo hadharani ni vizuri kuchutama.
Kujibu kwa hoja nyepesi hivi ni dalili ya kuchanganyikiwa. Kwa hili Nyalandu kawashinda.
You guys need to go back to your drawing bords.
 
Tangu juzi tarehe 30/10/2017 aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini-Lazaro Nyalandu kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) alipotangaza kujiuzulu na kutoa sababu zake za kujiuzulu. Tumesikia mengi kwa watu mbalimbali kwenye vyombo vya Habari na Mitandao ya Kijamii wakimshutuma kuwa amekimbia kwa sababu ya kashfa za Ufisadi kipindi akiwa waziri wa Maliasili na Utalii.

Wengine wakamhusisha na tukio la kukamatwa Jangili lililotokea hivi karibu akiwa na silaha na risasi nyingi na kusema Nyalandu pia anahusika na anaweza kushughulikiwa ndio maana akamua kukimbilia upinzani.

Lakini leo barua imetoka kwenye Ofisi ya Spika wa Bunge ikielezea kitendo ambacho Nyalandu alisema aliiandikia hiyo ofisi barua ya kujiuzulu nyadhifa zote pamoja na Ubunge siku alipotangaza kujiuzulu.

Barua kutoka ofisi ya Spika imedai kuwa haikupokea hiyo barua na kueleza kuwa ilipokea barua tarehe 30/10/2017 kutoka ofisi ya Katibu mkuu wa Chama ikimueleza mwenendo wa Nyalandu na hatua ambazo wameanza kuzichukua na kusema walimuvua uanachama.
Nukuu Chama hicho kimeshaanza kumchukulia hatua za kiudhibiti na kinidhamu dhidi ya vitendo na kauli zake zisizoridhisha kinyume na misingi, falsafa na itikadi ya chama cha Mapinduzi


Mods msifute wala kuunganisha uzi huu, hapa tunajadili kashfa ya ufisadi na sababu zilizotajwa na chama za kumvua Ubunge
 
Kama mentally ungekua that exceptional usinge comment uliyo changia.
 
kama nyalandu anawatoa kijasho chembamba hivi najiuliza nape akijitoa ccm itakuwaje..nahisi msigwa atatoa press release
ccm ni walaini kama maini-nassary
 
je ni kweli nyalandu ameusoma mchezo ambao angefanyiwa 2020 ,maana habari za kijikonijikoni miongon mwa wabunge ambao watatemwa na MCC 2020 nyalando yumo kwenye list ,walishatonywa na wapishi jamaa akaamua kujitoa ili apande basi lingine ambalo litamfikisha ,pia kuna habar watashuka weng ambao majina yao yameandikwa kwenye kile kitabu.

tusubir meng
 
Ahaaaaaaa,Nyalandu amewatangulia.Mtu amekwishajivua uanachama na ubunge mbele ya umma na akasema amekwisha andika barua kwa Spika mnaleta drama za kumfukuza uanachama!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…