Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
Kitu ambacho akiliccm wengi huwa hawakijui ni kwamba WANADHANI WATANZANIA WANGALI NA AKILI ZA KUSHIKIWA.Hawa wameshanganyikiwa kabisa bora wangekaa kimya waulizeni hiyo barua kutoka kwa katibu mkuu ikimueleza spika kumvua Ubunge na kwa kikao kipi PolePole asiropoke wakati wa press yake juzi?
Akili ya kawaida nilitegemea kuona barua kutoka ofisi ya katibu mkuu CCM ikieleza kufukuzwa kwa Nyalandu ndipo ifuate ya Spika wamechemka
Picha Lazaro Nyalandu leo akiwa na Tundu Lissu hospital Nairobi leo.View attachment 621953
Hii ni kauli ya mtu wa ufahamu mdogo kabisa ama ni sawa na ile ya sungura ya sizitaki mbichi hizi,MAJIZI YANA KIMBILIA CHADEMA
Ukitaka kujua akili ya MTU angalia wanaomzunguka wapoje
Hata tarehe haina ¡!!?View attachment 621961
Moja ya habari kubwa za sasa hivi nchini Tanzania ni Lazaro Nyalandu ambae juzi ametangaza kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM pamoja na Ubunge wa Singida Kaskazini.
Baadae Spika Ndugai alihojiwa na vyombo vya habari na kusema kwamba pamoja na kusikia taarifa za kujiuzulu kwa Nyalandu kwenye vyombo vya habari, yeye bado hajapokea barua ya kujiuzulu kwa Mbunge huyo.
Sasa leo imetoka taarifa kutoka Ofisi ya Bunge Dodoma ikiwa imeandikwa kama inavyosomeka hapo juu..
Wala hakuna haja ila Nyalandu mwenyewe angestahili natural justice. Hatusikii habari za yeye kuitwa na kuhojiwa kuhusu mwenendo wake! Huhitaji ubongo mkubwa kuliko wa njiwa kujua kuwa haiyumiki hali si hali kwa ccm na mwenyekiti wao 'mtukufu' wa ferini anaonekana kulijua hilo. Wewe unahitaji kutumia akili yako vizuri zaidi kidogo tu ili ujue ukweli halisi!Ulitaka wawe watangaza vikao Kukujulisha?
Ungemuuliza yaliiba yakiwa wapi,Yakitokea wapi? Ukijibu hapa ndio nitaanza kupima kiasi cha mgando uliyomo kwenye medulla.
AibuWamechelewa
CCM ndiyo zalisho la majizi siyo?CDM saizi ni Chaka la wezi, CDM limekuwa kimbilio la mafisadi. Majizi yote sasa njia nyeupe kwenda CDM
. Nawe ukitukanwa utalalamika? Mwizi mpeleke kwenye sheria ndio utwambie mwizi.MAJIZI YANA KIMBILIA CHADEMA
Walipoanza kumsakama chengeh kuwa ahojiwe na yy akatupa dongo kuwa siyo mjinga,Kwani Tibaijuka na Chenge wapo Chadema?!
Na yule mmoja aliyeuza nyumba za serikali na kununua kivuko kibovu je?!
Nyaturu team, high five mh. Nyalandu haya mataahira yanatapatapa tu!!Hawa wameshanganyikiwa kabisa bora wangekaa kimya waulizeni hiyo barua kutoka kwa katibu mkuu ikimueleza spika kumvua Ubunge na kwa kikao kipi PolePole asiropoke wakati wa press yake juzi?
Akili ya kawaida nilitegemea kuona barua kutoka ofisi ya katibu mkuu CCM ikieleza kufukuzwa kwa Nyalandu ndipo ifuate ya Spika wamechemka
Picha Lazaro Nyalandu leo akiwa na Tundu Lissu hospital Nairobi leo.View attachment 621953