Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania wa leo si wale wa Nyerere msitulishe matango pori nyalandu kajiuzuru kwa anachokiamini katika siasa sio ccm wamemwandikia barua ya kumfukuza mmechelewa na propaganda zenu
wote kondoo hao
Kwa muda, je? Huo muda walimtaarifu spika au walifanya kwa siri? Nakama walifanya kwa siri, kuna haja gani ya kumtaarifu kipindi hiki mnachomfukuza!!
....Nilisema humu politics,among other things, is about timing...Nyalandu amewa time kabla hawajam time...HahahaaaaNyarandu kawawahi hawa wanaona aibu wanazuga tu
Spika ana haraka.Wamechelewa
Tuache utani ingekuwa ni mtu mmoja anatenda haya tungesema ana laana,lakini kwa sasa hiki chama kinaishi katika laana.Yatupasa tuamini tu huku tukijililia sisi na watoto wetuHahahaha hawa naona Albadir imewachanganya Akili, hata hivyo siamini kabisa kama hii barua imetoka kwenye mamlaka ya bunge
Tumesema hatutaki mijizi
Tuongezee;Hapa hata mtu asiye na akili atakwambia huu ni utoto..
Nimekumbuka kipindi unamtamkia mchumba wako kwamba umemuacha, analalamika,analia halafu baada ya siku mbili kuisha anakutumia ujumbe mfupi anakutaarifu hata yeye pia alishafikiria kukuacha muda mrefu sana!
Kwa lugha nyepesi hiki ni kichekesho tena cha kuvunja mbavu!
Hongera Lazaro Nyalandu, umewashika sawasawa!