Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
Kitu ambacho akiliccm wengi huwa hawakijui ni kwamba WANADHANI WATANZANIA WANGALI NA AKILI ZA KUSHIKIWA.Hawa wameshanganyikiwa kabisa bora wangekaa kimya waulizeni hiyo barua kutoka kwa katibu mkuu ikimueleza spika kumvua Ubunge na kwa kikao kipi PolePole asiropoke wakati wa press yake juzi?
Akili ya kawaida nilitegemea kuona barua kutoka ofisi ya katibu mkuu CCM ikieleza kufukuzwa kwa Nyalandu ndipo ifuate ya Spika wamechemka
Picha Lazaro Nyalandu leo akiwa na Tundu Lissu hospital Nairobi leo.View attachment 621953
Mtu anajiuzulu na kujiondoa ndipo wanamuandikia barua ya kumfukuza!