Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

Hahahahahahaahahha labda Nyalandu aliipeleka kwa makinda akidhani kuwa ndiye spika Hahahahah eti kamati ya bunge nawashwa?
 
Eti alitoa kauli zinazoenda kinyume na falsafa na itikadi za Chama???

Kauli za kuwasihi watu wapendane, wavumiliane bila kujali itikadi zao, waombeane... Hakika sioni kosa la mtu huyu.


Naanza kuamini katika Al badir.. Wallah
 
Disorganized minds runs political party in disorganized order
 
Ahaha a hahaha kumbe ndio maana maamuzi ya kumteua Katibu wa bunge yalifanyika kwa mwendo kasi, kiasi kile ili yapitishe barua za magendo kama hizo?
Kama kweli wangekuwa wamemfukuza, Pole pole angesema, kwa hiyo kazi ya uenezi ya CCM inafanywa na Bunge , aibuuuuuu kwa huo unaojiita muhimili kutumika vibaya
 
Alafu
Alafu mnaubili uzalendo .....hata democrasia hamuijui sasa ngoja muone wimbi la wanachama na wabunge watakavo hama chama gani hakikubali kuwa hali mmbaya mtaani wala kumshauli kiongozi wao, nyalandu kaanza ila kihalisia wengi wameshahama hawajajitangaza tu
 
Yani mie huyo namuona kama katibu muenezi wa chama
 
Kama kweli wangekuwa wamemfukuza, Pole pole angesema, kwa hiyo kazi ya uenezi ya CCM inafanywa na Bunge , aibuuuuuu kwa huo unaojiita muhimili kutumika vibaya
Nafikiri tokea tupate uhuru, hii ndio hawamu ya uongozi ambayo serikali "imelawiti" mihimili iliyobaki ya taifa hili pasipo huruma wala aibu, tena kwa kasi ya ajabu.
 
Rais: Majizi yanahama yanakimbilia CHADEMA... Then, Ndugai: Wanaohama wanawashwa...... Later on
Ndugai : CCM walikuwa wamemsimamisha uanachama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…