Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

Nafikiri kuna haja ya kuanzisha upya harakati za kudai uhuru
katoka mkoloni Kaja black kaburu
 
Akili za Nduguya zimeshikiliwa na Sizonje. Eti anasema, amepokea barua ya kumfuta uanachama Nyalandu siku ile ile aliyotangaza kujiuzulu. Sijui kikao cha kumfuta uanachama kilifanyika lini! Huu ni msukule wa Sizonje. Akiambiwa atamke neno lolote hata la matusi, yeye anafanya hivyo bila kujiuliza madhara yatakayojitokeza.
 
Unadhani ujinga wa mmoja unasababisha umakini wa mwingine? Toa huko maswali ya kitoto
Punguza jazba umeleta mada ichangiwe hasira za nini tuliona watu wakimiminika nyumbani kwake na kumwambia wewe ndio spika bora tunakuombea upone na urudi haraka bungeni ,ghafla amekua wa hovyo kwenu wafuasi watiifu fulami kasema fulani karekodi!
 
Albadr itamfanya mtu flan ashindwe kuongoza hii nch hta miaka mitano haitafika.
 
Punguza jazba umeleta mada ichangiwe hasira za nini tuliona watu wakimiminika nyumbani kwake na kumwambia wewe ndio spika bora tunakuombea upone na urudi haraka bungeni ,ghafla amekua wa hovyo kwenu wafuasi watiifu fulami kasema fulani karekodi!
Utakapojua "Nothing is Constant" in this world utaacha kung'ang'ania maswali ya kijinga
 
Kumbeee! Basi pengine hata Sizonje anatumia nguvu za giza kuongoza, maana mbona mambo mengi afanyayo ni ya hovyo lakini watu wanaunga mkono kama wamelambishwa limbwata? Ona Ndugai anavyo jivunjia heshima ili kumfurahisha!
 
Cha muhimu kwa upinzani ni kufanya liwezekanalo mpaka waweze kuwa ndio wengi bungeni, wingi ndio utakaowapa maamuzi ya kumchagua spika wamtakaye.

Vinginevyo hii kazi ya kumlaumu na kumpiga vijembe spika, itakuwa ni ya kudumu kwa upande wa wabunge wa upinzani na mashabiki wao.
 
Punguza jazba umeleta mada ichangiwe hasira za nini tuliona watu wakimiminika nyumbani kwake na kumwambia wewe ndio spika bora tunakuombea upone na urudi haraka bungeni ,ghafla amekua wa hovyo kwenu wafuasi watiifu fulami kasema fulani karekodi!
Mtu akitenda jema anasifiwa kwa wakati ule sio milele. Na akikosea anaambiwa pia.
Tatizo lenu mnataka sifa au hukumu ya jambo iwe ya milele
 
Hoja ya msingi ni kuwa Spika analiaibisha bunge, jee wewe unaonaje?
 
Hv suala hapa ni sababu ya yy kuondoka chamani au suala ni nan aliyemuwahi mwenzie kutangaza kujiengua??
 
Mtu akitenda jema anasifiwa kwa wakati ule sio milele. Na akikosea anaambiwa pia.
Tatizo lenu mnataka sifa au hukumu ya jambo iwe ya milele
Barua aliopokea ndugai kutoka kwa katibu wa ccm inasema nyalandu amefukuzwa ni sawa tu mashinji aliposema lissu hatokua yule tuliemzoea na mbowe akaja na habari nyingine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…