Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

Hoja ya msingi ni kuwa Spika analiaibisha bunge, jee wewe unaonaje?
Hizi lawama zimekuwa zikisikika kabla hata Mama Makinda hajawa spika, na zinatoka upande mmoja kila siku.

Ndio maana busara sahihi ni kuhakikisha upinzani unapata wabunge wengi zaidi ili uwe na uwezo wa kuchagua spika kwa kutegemea wingi wao.

Kulalamika ni hulka mbovu ya kitanzania, ambayo kwa bahati mbaya wala hatujui itakwisha lini, labda kizazi kijacho cha watanzania hakitataka kuirithi tabia hii ambayo siku zote ni kielelezo cha jamii inayoishi kivivu.
 
Mara nyingi wagonjwa wa VVU huwa kuna stage inafika akili inaharibika..hivyo ndipo alipofika Ndugai
Kuna haja ya kupiga hawa jamaa aiseh tunaweza kumlaumu kumbe ndio yupo kwenye appropriate stage na an a display the characteristics
 
Hiyo taarifa kwa umma upi? Umma umemsikia yeye live akisema anaondoka CCM, hizo taratibu zenu hata zichukue mwaka umma unajua siku nyingi kuwa Nyalandu kaihama CCM. Ukimeza ukitema shauri yako yeye keshakupa vidonge.
 
Unamvua vipi ubunge mtu ambaye sio mbuge?[emoji38]
Na unamvua vp uanachama mtu ambaye sio mwanachama? [emoji16][emoji16][emoji16]
Tz ya V-wonder
 
Punguza jazba umeleta mada ichangiwe hasira za nini tuliona watu wakimiminika nyumbani kwake na kumwambia wewe ndio spika bora tunakuombea upone na urudi haraka bungeni ,ghafla amekua wa hovyo kwenu wafuasi watiifu fulami kasema fulani karekodi!
Rekebisha akili yako na usahihishe hapa! Wabunge walikwenda kumpa pole baada ya kurejea kutoka kwenye matibabu. Ni hekima ya kawaida kupeana pole kwa wastaarabu kama hao wa cdm na kwa ccm ukipata shida utajijua! Hakuna ushahidi wa kuthibitisha kauli yako ya kuwa ndiye spika bora tangu uhuru huku ukiwaacha kina Sitta na Mkwawa.
Ukiambiwa ni spika wa hovyo kuwahi kutokea kubali tu kwani haelewi hata taratibu za kumfukuza mwanachama kuwa kuna zaidi ya vikao viwili vinatakiwa kukaa na kuamua.
Mkiambiwa huko cvm mnaongozwa na mazwazwa mnatokwa povu kama mmemezeshwa foma!
 
Screenshot_2017-11-02-08-07-10.png
FullSizeRender_8.jpg
FullSizeRender.jpg
 
Bwana SLOW SLOW yupo sawa, ila Bwana KAZI amechemka. Anajikombeleza kwa bwana mkubwa.

Tusimlaumu Bwana Kazi, siyo kosa lake ila kale Kaugonjwa ndiko kanakompa hofu. Maana anaogopa siku Compact Disk 4 (CD 4 ) zikipungua Bwana mkubwa anaweza kukataa kumpeleka India kwa matibabu then akafia Bongo
 
Wanajichanganya hivi Ndungai ni msemaji wa ccm au ni sipika wa Bunge na polepole ni spika au msemaji wa mataila wa ccm

Swissme
 
Rekebisha akili yako na usahihishe hapa! Wabunge walikwenda kumpa pole baada ya kurejea kutoka kwenye matibabu. Ni hekima ya kawaida kupeana pole kwa wastaarabu kama hao wa cdm na kwa ccm ukipata shida utajijua! Hakuna ushahidi wa kuthibitisha kauli yako ya kuwa ndiye spika bora tangu uhuru huku ukiwaacha kina Sitta na Mkwawa.
Ukiambiwa ni spika wa hovyo kuwahi kutokea kubali tu kwani haelewi hata taratibu za kumfukuza mwanachama kuwa kuna zaidi ya vikao viwili vinatakiwa kukaa na kuamua.
Mkiambiwa huko cvm mnaongozwa na mazwazwa mnatokwa povu kama mmemezeshwa foma!
kuna mstari nimeandika ni bora kuliko wote tangu uhuru!
 
Wanajichanganya hivi Ndungai ni msemaji wa ccm au ni sipika wa Bunge na polepole ni spika au msemaji wa mataila wa ccm

Swissme
Hicho kichekesho unabonyeza namba ngapi ukitaka kuserereka na kuburudika nacho!?[emoji2]
 
Back
Top Bottom