Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza jazba umeleta mada ichangiwe hasira za nini tuliona watu wakimiminika nyumbani kwake na kumwambia wewe ndio spika bora tunakuombea upone na urudi haraka bungeni ,ghafla amekua wa hovyo kwenu wafuasi watiifu fulami kasema fulani karekodi!Unadhani ujinga wa mmoja unasababisha umakini wa mwingine? Toa huko maswali ya kitoto
Utakapojua "Nothing is Constant" in this world utaacha kung'ang'ania maswali ya kijingaPunguza jazba umeleta mada ichangiwe hasira za nini tuliona watu wakimiminika nyumbani kwake na kumwambia wewe ndio spika bora tunakuombea upone na urudi haraka bungeni ,ghafla amekua wa hovyo kwenu wafuasi watiifu fulami kasema fulani karekodi!
Kumbeee! Basi pengine hata Sizonje anatumia nguvu za giza kuongoza, maana mbona mambo mengi afanyayo ni ya hovyo lakini watu wanaunga mkono kama wamelambishwa limbwata? Ona Ndugai anavyo jivunjia heshima ili kumfurahisha!Akili za Nduguya zimeshikiliwa na Sizonje. Eti anasema, amepokea barua ya kumfuta uanachama Nyalandu siku ile ile aliyotangaza kujiuzulu. Sijui kikao cha kumfuta uanachama kilifanyika lini! Huu ni msukule wa Sizonje. Akiambiwa atamke neno lolote hata la matusi, yeye anafanya hivyo bila kujiuliza madhara yatakayojitokeza.
Mtu akitenda jema anasifiwa kwa wakati ule sio milele. Na akikosea anaambiwa pia.Punguza jazba umeleta mada ichangiwe hasira za nini tuliona watu wakimiminika nyumbani kwake na kumwambia wewe ndio spika bora tunakuombea upone na urudi haraka bungeni ,ghafla amekua wa hovyo kwenu wafuasi watiifu fulami kasema fulani karekodi!
Hoja ya msingi ni kuwa Spika analiaibisha bunge, jee wewe unaonaje?Cha muhimu kwa upinzani ni kufanya liwezekanalo mpaka waweze kuwa ndio wengi bungeni, wingi ndio utakaowapa maamuzi ya kumchagua spika wamtakaye.
Vinginevyo hii kazi ya kumlaumu na kumpiga vijembe spika, itakuwa ni ya kudumu kwa upande wa wabunge wa upinzani na mashabiki wao.
Barua aliopokea ndugai kutoka kwa katibu wa ccm inasema nyalandu amefukuzwa ni sawa tu mashinji aliposema lissu hatokua yule tuliemzoea na mbowe akaja na habari nyingine!Mtu akitenda jema anasifiwa kwa wakati ule sio milele. Na akikosea anaambiwa pia.
Tatizo lenu mnataka sifa au hukumu ya jambo iwe ya milele