Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Hizi lawama zimekuwa zikisikika kabla hata Mama Makinda hajawa spika, na zinatoka upande mmoja kila siku.Hoja ya msingi ni kuwa Spika analiaibisha bunge, jee wewe unaonaje?
Kuna haja ya kupiga hawa jamaa aiseh tunaweza kumlaumu kumbe ndio yupo kwenye appropriate stage na an a display the characteristicsMara nyingi wagonjwa wa VVU huwa kuna stage inafika akili inaharibika..hivyo ndipo alipofika Ndugai
Twote tupumbavu tu mkemia katuweka under his umbrella nadhani ndugai nae alipata uspika kwa hisaniSwali kwa ukawa na wote waliokua wakitoka nje bungeni bi tulia na ndugai yupi bora!
aisee CCM ni janga....wote hao ni CCMSwali kwa ukawa na wote waliokua wakitoka nje bungeni bi tulia na ndugai yupi bora!
Si mukayakamate na kuyashitaki? Tena anzeni na Edo Manvi.Sio mnalialia mitandaoniMAJIZI YANA KIMBILIA CHADEMA
Hakuna bora hapoSwali kwa ukawa na wote waliokua wakitoka nje bungeni bi tulia na ndugai yupi bora!
Rekebisha akili yako na usahihishe hapa! Wabunge walikwenda kumpa pole baada ya kurejea kutoka kwenye matibabu. Ni hekima ya kawaida kupeana pole kwa wastaarabu kama hao wa cdm na kwa ccm ukipata shida utajijua! Hakuna ushahidi wa kuthibitisha kauli yako ya kuwa ndiye spika bora tangu uhuru huku ukiwaacha kina Sitta na Mkwawa.Punguza jazba umeleta mada ichangiwe hasira za nini tuliona watu wakimiminika nyumbani kwake na kumwambia wewe ndio spika bora tunakuombea upone na urudi haraka bungeni ,ghafla amekua wa hovyo kwenu wafuasi watiifu fulami kasema fulani karekodi!
Nyalandu ndiye katuacha CCM short and clear, na uzuri huku CCM hatubembelezani ukiamua kuchapa rapa...... SEPA hakuna wa kukubembeleza. Na huyo Spika anajaribu tu kumpa umaarufu Nyalandu na tumeshalijua hilo!!
kuna mstari nimeandika ni bora kuliko wote tangu uhuru!Rekebisha akili yako na usahihishe hapa! Wabunge walikwenda kumpa pole baada ya kurejea kutoka kwenye matibabu. Ni hekima ya kawaida kupeana pole kwa wastaarabu kama hao wa cdm na kwa ccm ukipata shida utajijua! Hakuna ushahidi wa kuthibitisha kauli yako ya kuwa ndiye spika bora tangu uhuru huku ukiwaacha kina Sitta na Mkwawa.
Ukiambiwa ni spika wa hovyo kuwahi kutokea kubali tu kwani haelewi hata taratibu za kumfukuza mwanachama kuwa kuna zaidi ya vikao viwili vinatakiwa kukaa na kuamua.
Mkiambiwa huko cvm mnaongozwa na mazwazwa mnatokwa povu kama mmemezeshwa foma!
Yakija sisiem yanamuunga mkono raisMAJIZI YANA KIMBILIA CHADEMA
Hicho kichekesho unabonyeza namba ngapi ukitaka kuserereka na kuburudika nacho!?[emoji2]Wanajichanganya hivi Ndungai ni msemaji wa ccm au ni sipika wa Bunge na polepole ni spika au msemaji wa mataila wa ccm
Swissme
Bonueza nyota kisha andika ccm nyota andika 666 reliHicho kichekesho unabonyeza namba ngapi ukitaka kuserereka na kuburudika nacho!?[emoji2]