Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
he! polisi wanawaacha tu..MAJIZI YANA KIMBILIA CHADEMA
😀😀😀😀😀😀😀Mkuu kwahiyo chama kimemfukuza Nyalandu muda tu? Hii taarifa imeniongezea siku za kuishi kwa kucheka!Mabavicha sasa yamepata kazi mpya ya kumsafisha na kumsifia Nyalandu. Ha ha ha.
Hata mimi ambaye sijasoma nilijua kujiuzulu kwake ni bora kuliko kubaki huko ila nilisema kilicho nyuma ya pazia anajua yeye nyalandu lakini asituambie ni mzalendo ndo maana anajiuzulu hilo si kweli.View attachment 621949 Moja ya habari kubwa za sasa hivi nchini Tanzania ni Lazaro Nyalandu ambae juzi ametangaza kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM pamoja na Ubunge wa Singida Kaskazini.
Baadae Spika Ndugai alihojiwa na vyombo vya habari na kusema kwamba pamoja na kusikia taarifa za kujiuzulu kwa Nyalandu kwenye vyombo vya habari, yeye bado hajapokea barua ya kujiuzulu kwa Mbunge huyo.
Sasa leo imetoka taarifa kutoka Ofisi ya Bunge Dodoma ikiwa imeandikwa kama inavyosomeka hapo juu..
Kiukweli kwa taarifa hiyo ya bunge umaarufu wa Nyalandu umeongezeka. Binafsi nilimsikiliza kwa makini Polepole alipohojiwa na Albert Kilala pale Channel ten alitamka wazi kwamba " Nyalandu ametumia haki yake ya kikatiba kuondoka CCM".......sasa haya ya kufukuzana yanatoka wapi tena?!!Hiyo your take hiyo ndiyo umevuruga mambo kabisa;
Hata hivyo;
Amebipu wenzake wamempigia; sasa historia itasomeka kuwa CCM ndio imemmwaga Nyalandu kutokana na makando kando yake na sio yeye kukiacha chama.
A comment of the dayKinachowauma CCM ni wao kupokea madiwani wa CHADEMA kwa 2M,huku CHADEMA wakimpokea mbunge wa CCM buuure!
Unaonga housegelo wa jirani kwa laki moja,huku jirani yako "akimjua" mkeo buure!
Inauma sana!
Ajabu kweli hii mkuu, kama hayo ya kutaka kumfukuza yangekuwepo yangesemwa siku ile..Kiukweli kwa taarifa hiyo ya bunge umaarufu wa Nyalandu umeongezeka. Binafsi nilimsikiliza kwa makini Polepole alipohojiwa na Albert Kilala pale Channel ten alitamka wazi kwamba " Nyalandu ametumia haki yake ya kikatiba kuondoka CCM".......sasa haya ya kufukuzana yanatoka wapi tena?!!
Sawa kabisa Yohana Mbatizaji, kuna mengine huwa natofautiana na wewe , lakini hili uko sahihi kabisa. Watu akiwemo Nyalandu mwenyewe, wanaposema Bunge nalo limeingiliwa ni pamoja na kushiriki kucheza sanaa hii inayoongozwa na spika. Baada ya Nyalandu kutangaza kuachana na CCM, kuna kituo cha redio haraka haraka kilimpigia simu kumuuliza kama amepata barua ya Nyalandu, majibu aliyoyatoa yanaweza kutoa picha kamili. Wenye clip ya hayo mahojiano wanaweza kutuwekea hapa!Kiukweli kwa taarifa hiyo ya bunge umaarufu wa Nyalandu umeongezeka. Binafsi nilimsikiliza kwa makini Polepole alipohojiwa na Albert Kilala pale Channel ten alitamka wazi kwamba " Nyalandu ametumia haki yake ya kikatiba kuondoka CCM".......sasa haya ya kufukuzana yanatoka wapi tena?!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona polepole hakusema siku ile kuwa wamemfukuza? Spika ndo msemaji wa ccm sasa hivi? Nchi ina raha hii....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]3. CCM imesema Okt. 30 walimuandikia Spika barua kuwa, Nyalandu amepoteza sifa za uanachama wake na kwamba wamemvua nafasi zote za uongozi.