Mgogo Mmoja
JF-Expert Member
- Aug 7, 2013
- 332
- 336
Hii sio speed ya HAPA KAZI wanayoisema, siku tatu zote za nin ..?!
Kuna mambo hayahitaji siasa kabisa kuyatatua ..!!
Kuna mambo hayahitaji siasa kabisa kuyatatua ..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nawakamataWakikataa basi yataishia hapo, kwani watawafanya nini, hata ungekuwa wewe kama polisi wamekataa utafanya nini?
ni kitwanga yumo??????????Kitwanga tumbo linamuuma akisikia hii issue lazima mwaka huu wanyooke
Kwi kwi kwi kwi hujipendi kwi kwi kwi kwinawakamata
kWELI HAKUNA ALIYE JUU YA SHERIA LAKINI MAGU SASA ATAKUWA NA MTIHANI KIDOGO KWANI ANAWAHITAJI POLISI WA SASA. MUNGU WANGU MUNGU WANGU HII NCHI HIVI HAYA MAMBO YANAYOFANYIKA TANZANIA NA NCHI ZINGINE ZA EAST AFRICA YANAFANYIKA KAMA KENYA, UGANDA, NA BURUNDI. HIVI KWELI HII NCHI IKO MESSED UP NAMNA HII.Rais ataingilia kati!Hapo ndipo watakapojua ubaya wa Magufuli.Polisi hawako juu ya sheria.
Raisi
mjombaaaaaaa.... ujumbe umegusa mfupa mkuu. duh!!!! NGOJA TUONE HII KALI KUPITA MAJIPU UCHUNGUMbuyu huanza kama mchicha. Kwa mtangulizi wako,Mzee Jakaya Kikwete,kashfa moja ilianzisha nyingine. Ukawepo msururu wa kashfa. Kuanzia EPA, Richmond hadi Escrow.
Kwako,kashfa ya Lugumi imekubeep. Kashfa nyingine zitakupigia. Tuma ujumbe kupitia Lugumi. Wa kuogofya!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Mbuyu huanza kama mchicha. Kwa mtangulizi wako,Mzee Jakaya Kikwete,kashfa moja ilianzisha nyingine. Ukawepo msururu wa kashfa. Kuanzia EPA, Richmond hadi Escrow.
Kwako,kashfa ya Lugumi imekubeep. Kashfa nyingine zitakupigia. Tuma ujumbe kupitia Lugumi. Wa kuogofya!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Watapewa mkataba feki uliochakachuliwa na kuitoa ile kampuni ya Said mwema na Charles kitwanga , mda huu wabunge baadhi watakuwa wameshapewa Rushwa kinachokuja kufanyika kitaeashangaza wengi .Jana nimemsikia makamu mwenyekiti wa PAC, akiongeza siku sita baada ya zile tatu kupita pasi na jeshi la polisi kutii maagizo ya kamati ya bunge ya kuukabidhi mkataba tata waliouingia na LUGUMI ENTER...., je hizo siku zikipita na hawakupeleka huo mkataba nini kitafuatia , polisi atamkamata polisi......?
Mkuu mechi imechezwa nje ya uwanja matokeo ni 3 bila Yaani wabunge watafungwa 3-0 kuna maujanja yanafanyika kuwalinda Charles kitwanga na wenzake ni style ile ile iliyotumika kumlinda Mwakyembe na Makamba juu ya Majipu Yao.kWELI HAKUNA ALIYE JUU YA SHERIA LAKINI MAGU SASA ATAKUWA NA MTIHANI KIDOGO KWANI ANAWAHITAJI POLISI WA SASA. MUNGU WANGU MUNGU WANGU HII NCHI HIVI HAYA MAMBO YANAYOFANYIKA TANZANIA NA NCHI ZINGINE ZA EAST AFRICA YANAFANYIKA KAMA KENYA, UGANDA, NA BURUNDI. HIVI KWELI HII NCHI IKO MESSED UP NAMNA HII.
Mkuu hili linamhusu rafiki yake mkubwa Charles kitwanga hatathubutu kuliingilia , sana sana atamlinda Kama alivyomlinda Mwakyembe na January Makamba .Rais ataingilia kati!Hapo ndipo watakapojua ubaya wa Magufuli.Polisi hawako juu ya sheria.
Raisi
Watapewa mkataba feki uliochakachuliwa na kuitoa ile kampuni ya Said mwema na Charles kitwanga , mda huu wabunge baadhi watakuwa wameshapewa Rushwa kinachokuja kufanyika kitaeashangaza wengi .
kiwanga hana kosa lolote pale wewe...alikuwa subcontracted na kampuni ya marekani ambayo ndio walipewa kazi na LugumiKitwanga tumbo linamuuma akisikia hii issue lazima mwaka huu wanyooke
Ni kweli huu mda ambao wanachelewesha ndiyo wanautumia kuchakachua kila kitu kisha wabunge watakuja na jawabu la kushangaza Dunia .mkataba sio ishu...kwani ninyi mnadhani una nini cha ajabu?
unadhani umemtaja mwana mfamle huo? hapanaaaaa......mkataba ni mkataba tu...ila ngoma zinapigwa kichinichini.....
hauchakachuliwi hata kidogoNi kweli huu mda ambao wanachelewesha ndiyo wanautumia kuchakachua kila kitu kisha wabunge watakuja na jawabu la kushangaza Dunia .
Akizungumza na MTANZANIA jana, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Balozi Adadi Rajabu, alithibitisha mkataba huo kuwasilishwa mbele ya kamati yake.
“Mimi kama mwenyekiti wa kamati ninapenda kukiri kwamba tumepokea mkataba kati ya Jeshi la Polisi na Kampuni ya Lugumi na tutaufanyia kazi kwa kina.
“Tunahitaji kuona kama kuna wizara zilizohusika na mkataba huu na kama tutaukuta ni mbaya, tutatoa taarifa kwa umma. Kikubwa tunawaomba Watanzania wawe watulivu, hatuko kwa ajili ya kumlinda mtu wala kikundi cha watu, tunasimamia masilahi ya Watanzania wote,” alisema Balozi Adadi.
Mkataba unachakachuliwa wakubwa wote wanatolewa yatawekwa majina ya watu wengine kabsahuo mkataba kuna watu kibao wazito hawachomoki