Bunge latoa siku tatu kwa Jeshi la Polisi kuwasilisha mkataba wa Lugumi

Bunge latoa siku tatu kwa Jeshi la Polisi kuwasilisha mkataba wa Lugumi

Wakikataa basi yataishia hapo, kwani watawafanya nini, hata ungekuwa wewe kama polisi wamekataa utafanya nini?
Hii ndiyo elimu ya kikwete ya kumfanya kila mtu anaelewa hata kama ni mburura. Ulipaswa uulize nini kinaweza kutokea kuliko kuhitimisha...
 
hii kamati ya bunge ni kichekesho. wao waibane serikali kupitia waziri wa mambo ya mapolisi. waziri atashughulika na watu wake...
 
Bunge latoa siku tatu kwa Jeshi la Polisi kuwasilisha mkataba wa Lugumi wenye kiasi cha takribal Bil 37.

Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Kamati za Bunge Aishi Hilali ili mkataba huo uweze kupitiwa tena Bunge.

Chanzo: East Africa Radio.

Hivi ni Kamati ipi inahusika na Polisi, Kamati ya PAC au Kamati ya Ulinzi na mambo ya nje?

Au Polisi iko chini ya PAC?
 
Back
Top Bottom