Bunge laulizwa alipo Job Ndugai, lasema halina taarifa alipo, inawezekana yupo jimboni kwake

Yaani serikali imuogope ndugai?, Hivi unafikiri hata ndugai akisema sio yeye aliyeandika ile barua nini kitatokea, wananchi wataipindua serikali au?
 
huyu Ndugai alimfuta ubunge Lissu kwa kile anachodai ni mtoro na hajulikani alipo sasa tulia amfute na na yeye ubunge na kunyimwa stahiki zake zote kwa utoro bungeni bila taarifa
 
Anajificha Kama ngiri hahahaaaa Dunia inaxunguuka ktk mhimili wake kwa kasi sana.
Mungu wetu hutenda Mambo kwa wakati wake.
 
Kaka kuna watakatifu hata wavunje sheria hawashikiki ....
 
Kapigwa na kitu kizito Sana kichwani bado hajazindika.......
Au Yuko Chaltle ameenda kuhiji....
 
Ndugai yupo nje , ni wa leo au Kesho ....!!! Ni kudra za Mwenyezi Mungu tuu zitakazomrudisha uraiani... Za chini ya carpet alikula syringe ya lile genge 😌
 
Anavuna alichopanda.
 
Ila hiyo picha ya kwanza kushoto Ndugai anatia huruma sana
 
Hizi ni chini chini ila ni za kweli huwezi amini ndugu zangu Job Ndungah aliyemfuta ubunge Tundu Anti pass Lisu anakarbia kufutwa ubunge kwa sababu, haonekani bungeni aise

Wandugu tuishi vyema Hali s Hali ndgu zangu, Yani nikweli alimchomtendea mwenzake ndo hicho anatendewa.
 
Watajuana wenyewe, sisi wengine hayatuhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…