Bunge laulizwa alipo Job Ndugai, lasema halina taarifa alipo, inawezekana yupo jimboni kwake

Job Ndugai yuko nyumbani ila kila kikao cha bunge analipwa posho na mshahara unaingia bank kila mwezi.

Tanzania nchi hii ni ngumu sana.
Kama madai hayo ni ya kweli then, muosha anatakiwa aoshwe! MzeeJob ndo aliongoza kufukuza wabunge bungeni ktk jina la utoro.
 
Bunge litangaze tu halijuhi alipo ndunhai na limvue ubunge kwa mujibu wa shweia
 
Yaani serikali imuogope ndugai?, Hivi unafikiri hata ndugai akisema sio yeye aliyeandika ile barua nini kitatokea, wananchi wataipindua serikali au?
Uzuri wa msumeno huwa unakata mbele na nyuma !! Ngoja na yeye mwenyewe ajionee kuwa kumbe ni kweli huwa unakata mbele na nyuma !! SHERIA NI MSUMENO HUKATA MBELE NA NYUMA !! UKIONA LEO IMEMBANA FULANI UJUWE KESHO ITAKUJA KUKUBANA WEWE MWENYEWE !!
 
Aondolewe bungeni kama alivyoondolewa Lissu
 
Ukisoma kanuni sio jukumu la bunge... Ila nijukumu la mbunge kutoa taarifa kwene mhimili... Yeye katibu ata hesabu tu vikao vitapofika vikao vitatu mfululizo bila mahudhurio ndio katibu wa bunge atatoa taarifa kwa spika... Spika akithibitisha mbunge husika hakuhudhuria bila kibali vha spika wala taarifa hukoma kuwa mbunge.... Hivo kikanuni bunge halina huo muda wakumfatilia mbunge na ndo. Maan amesema wenda yupo jimbon kwake Maan ndo ilipo ofisi ya mbunge
 
Muumba ni fundi aisee. Ndugai leo amekua mtoro bungeni!!!!. Huyu aliyemfuta Lisu ubunge huku akijua anatibiwa majeraha ya risasi hajui kanuni za kuomba ruhusa bungeni kweli? Dah!!! Nashindwa kuiamini hii japo ni kweli. Nasikia anayoroshwa putaputa hata maji ya kunywa anapewa kwa ruhusa maalum
 
Lakini bado watu hawaoni funzo ndani ya tukio kama hili!

Hapana, lisionekane kama tukio moja: Mmoja aliyetamba kama yeye ndiye mungu, kachukuliwa na Uviko, na huyu aliyejifanya msaidizi wa mungu, sasa anaogopa hata kujitokeza hadharani watu wamwone!
Mabaya yote na masimango waliyokuwa wakiwafanyia wengine sasa yanawakabiri wao.
 


Huyu Ndugai alimfukuza wabunge kwa kusosa vikao lakini yeye sasa anakosa vikao.
 
Mungu anamlipa hapahapa duniani.
Huyu aliwafukiza kina tundu antipas mughwai lisu kujidai hajui alipo akijua ni wagonjwa hospitali.
Wamuue kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…